Habari la leo wana JF wote..Kuna huyu ndugu yangu yupo form six HGK SHULE FLAN YA privtae Moshi anataka kuja kusomea kiswahili chuo awe cjui ndio wanaita wana kiswahili ... Hivi hii ikoje jamani...
Mwandishi nguli wa vitabu mnigeria CHINUA ACHEBE arejea tena.
Achebe amezindua kitabu chake kipya alichokipa jina la "THERE WAS A COUNTRY" ambacho kimeelezea vita vya biafra kule Nigeria huku...
Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda,amesema serikali imepanga mwaka huu kuajiri walimu zaidi ya 35,000 kwa ajili ya shule za sekondari ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu nchini...
Heshima kwenu wote.
Napenda Uzi huu uwe maalum kwa watu walioko Tanzania na nje ya Tanzania, dhamira kuu ya Uzi huu ni kuwakutanisha watu wote wenye nia ya kwenda kusoma nje ya Africa na pengine...
Habari wakuu!?
Binafsi napenda saana kusoma na kuishi mazingira tofauti na nyumbani hapa Bongo kwa sababu zangu binafsi.
Ninapendelea zaidi kufanya kozi yoyote fupi ya cullinary au yeyote...
Walimu Wengi Waliyomaliza Masomo Yao Wakafaulu Vizuri, Malengo Yao Huwa Tayari Kutekelezwa Kama Yalivyo pangwa..kuchelewa Kwa Ajira Nchini Husababisha Wahtimu Haohao Kubadili Malengo waliyo Yaweka...
Kwa yeyote anayefahamu mahala ambapo naweza kumpeleka kijana wangu kijifunza computer couse kwa gharama nafuu kwa standard za chini( beginer) anisaidie...... anaishi maeneo ya kinondoni.
MASOMO- BURE KWA WENYE SIFA.
- USHONAJI NA FASHION DESIGNING
TRUE ROAD COLLEGE OF DESIGNING, TAILORING AND BEAUTY
-Inapenda kutangaza kwamba inatoa fursa/nafasi 3 Kwa mafunzo ya kushona...
Nimehitimu kidato cha nne mwaka jana nna ufaulu wa pass. 1.2.
Nahitaji kwenda Jesh ni taratibu gan nizizingatie kufikia malengo yang .
In short nifanyeje yaani sina mtu wa kunisaidia
Kumekuwepo na Tangazo la upotoshaji kuhusu Ajira ya walimu wapya kwa mwaka 2015/16 (TANGAZO No. T.022/15TMS 2015) linalodaiwa kuwa limetolewa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na...
Kama unakua na malengo ya kumaliza chuo kikuu na GPA kubwa, kwa hizi fani ni ngumu sana na hasa kwenye hivi vyuo.
1. BSc Land Management and Valuation (Ardhi University)
2. BSc Geomatics (Ardhi...
Wadau Kwa Wale Wanaohitaji Kujifua Zaidi Kwenye Masuala Ya Uongozi Na Maadili Sasa Zinapatikana Chuo Cha Kumbukumbu Cha Mwalimu Nyerere Kivukoni.Maelezo Zaidi Fikeni Chuoni Hapo.
Mimi nimemaliza form 4 mwaka jana na nimefaulu mitihan yangu vizuri.Comb. Ambayo ningependa kuendelea nayo kwa A'level ni PCM coz napenda kuwa engineer ila habari nilizozisikia kwa watu...
JAMANI MWENYE SOFT COPY YA KITABU KIZIMA CHA FINANCIAL MANAGEMENT CHA I.M PANDEY NAOMBA ANITUMIE KUPITIA E-mail-allyjuma7@yahoo.com
Natanguliza Shukrani!
Habari wadau,ktk guide book ya nacte kuna baadhi ya vyuo havijawekewa ada yake.Pia wkt wa kuapply kuna vyuo vimeandikwa"loan not priority"hii ina maana gan wadau au hakuna ufadhili mwaka huu??
Habari zenu wana Jf,Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza katika chuo cha dit kwa fani tajwa hapo juu,naomba nisaidie mawazo wapi nipeleke barua ya field?
Hadi mwezi huu wa4 (April) hakuna tamko, taarifa za kiintelijensia ni kwamba hata kibali kutoka ) ofisi ya rais menejiment na utumishi kwenda tamisemi bado! Je hali hii inatupa picha gani walimu...