Zitatufanya tuwehukeee kabisaaaa.
Daaaah wahusika kama mnapita humu basi tupeni hata taarifa tu kuwa zitachelewaaa au ni hivi karibuni.
Sio kwamba hatuna cha kufanya but private mikataba...
Ama alivyofanikisha kuondoa teaching allowance na kufanya:
1. uwalimu uwe sekta ya wasiona uwezo
2. Maisha ya mwalimu kuwa duni sana
3.Kushuka uwezo na wanafunzi kushuka kiumahiri katika...
Leo nimepigiwa simu na mtu anaye soma pale SUA yeye anasoma bsc.ya forest...akaniuliza hivi chuoni kwenu mtu anaweza disco semister ya kwanza kama hata fikisha wastani wa chuo?
Mimi nikamjibu...
Habari za kazi?
Juzi nilikuwa nafanya maombi kwenye vyuo mbali mbali vya afya through nacte on line registration sasa nkakosea email, nashindwa kuendelea na chochote.
Nawapigia hawapokei...
Habar zenu wanajukwaa...!
Nimekuwa nikipata mkanganyiko kidogo kuhusu swala la ada inayolipwa na bodi ya mkopo kwenye vyuo vikuu
Pale ambapo mwanafunzi anapata mkopo bodi humlipia mwanafunzi...
Nafikiri Dunia ya hivi sasa ingepata viongozi wa imani ya Dini wenye mitazamo sawa na huyu Mexemed , Basi haya Matatizo ya vijana wetu ya
kujitoa mhanga ili kukamilisha lengo fulani yangekwisha...
Heshima kwenu wanajamvi!!!...Ningependa kufahamu huu mfumo wa GPA kwa level za degree hususani ile ya uhasibu huanza kuhesabiwa mwaka wa ngapi na kuwekwa kwenye cheti??..je huhesabiwa kwa miaka...
Najua hupendi kusoma jumbe ndefu kama hii, ila tafadhari isome.
Ulipochagulia kwenda chuo you had a lot of expectations, inawezekana ulitoka na idea zako za kuwa wa kwanza class km ulivyokuwa...
Ningependa kufahamu zaidi jinsi ya kujiunga na vyuo vinavyotoa elimu ya sanaa na utunzi wa vitabu ili nami niweze kujiunga.pia ninaomba mniorodheshee hivyo vyuo vinavyopatikana ndani hata nje ya...
Jina langu naitwa Abdul, ni muhitimu wa kidato cha sita, nimepata nafasi ya kwenda kusoma nchini India ila tatizo wazazi wangu hawana uwezo wa kunisomesha, niko hapa nahitaji msaada ili niendelee...
mi ni mwl wa sayansi phy na math.kitu kinachonishangaza serikali .mwl wa sc ana vipind 30 art 6.means ni mara 5.afu kwenye mshahara mnapata sawa..sasa najiuliza hiyo ni haki kwel na serikali...
ADVANCED MICROSOFT EXCEL TRAINING FOR UNIVERSITY STUDENTS
Do you aspire to become more Competitive in your After-University job interviews? The Global Business Consulting (GBC) is a solution to...
zote hapa nchini kwa angalau saa tatu kila siku. Hii itakuwa ni njia bora zaidi ya kutuwezesha sisi Watanzania na watoto na vijana wetu walioko katika ngazi mbalimbali za elimu hapa nchini...
Natafuta shule ya advance kwa mchepuo wa HGE ambayo itakubali masharti ya kusoma wiki mbili na wiki mbili nyngne job kila mwezi kwa miaka miwil ada ni frsh haina usumbufu, shule iwe Dar na iwe ya...
Napenda wana ndugu mnisaidie kujua maisha ya Ndugu H. Mwakwembe ya kielimu, lakini pia nifahamu vitabu alivyoandika kwa majina. Kama umebahatika kuvipitia naomba mtazamo wake kwa ujumla vililenga...