Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wadau embu niambeni chuo cha clinical officers cha Maswa wanafunga lini?
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Nina B.A education nataka nikasome Postgraduate diploma in health system management vip mawazo yako?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii shule kongwe imefungwa jana kwa sababu tajwa hapo juu. mbaya zaidi ina form 6 watakaofanya mitihani may. kwa anayejua zaidi karibu. Source: mwalimu anayefundisha hapo. Hali ni mbaya kwa kweli
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hello jf members, Hivi TCU wanaanza kupokea maombi ya vyuo lini? kwa ngazi ya degree kwa waombaji wote wa F.6 na Equivalent?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
naomba mwenye mobile contacts za mtu yeyote wa Monduli University anisaidie plz..
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Am asking for anyone who can help me with the best WEBSITE to search and download Books, journals, presented paper and articles related to Building Construction. Thanks in advance..
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu, naomba kwa alie na uelewa na hiki chuo nataka kufahamu ubora wake kiufundishaji na hadhi ya degree inayotolewa apo, nmetembelea website yao sikutosheka na taarifa nlizozipata. Naomba kwa...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Poleni wanajukwaa kwa kazi nzito. Mimi nimesomea Bachelor of education in Arts ( udom) na sasa nahitaji kwenda kujiendeleza kwa kupata shahada ya pili. Wakati nasomea first degree niliwah...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je ni kweli kuwa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Missungwi kinatoa course za mambo ya uhandisi wa ujenzi? Kama ni kweli tupia maoni yako jinsi unavyokifahamu itakuwa msaada sana kwangu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanaJF, naomba kama kuna mtu anajua chochote mchakato wa kujiunga na masomo ya certificate ya University of Dar es salaam School of journalism anielekeze. Ada ni shs ngapi? na masomo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau Mtoto amemaliza form four mwaka jana na kupata ufaulu huu.Je ni kozi gani anaweza kufanya kwa sababu hataki kwenda form 5, anataka aanze chuo na ngazi ya astashahada Civics – C History –...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Wasalaam, Naomba msaada wa kufahamishwa shule nzuri za wasichana zenye mchepuo wa PCB. Nina mdogo wangu amefaulu vizuri matokeo ya form 4 lakini hajafanikiwa kupita kwene matriculations za shule...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba kueleweshwa kwa anaefaham eti ukisoma cbg uwezi kujiunga na pharmacy? pia ni fakat gani m2 anaesoma cbg na kufaulu vizur anaweza zisoma chuo kikuu? Kwa anae faham tafazal naomba kusaidiwa
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Uki re seat mtihani.ukafaulu unaweza kutengenezewa cheti kimoja badala ya viwili cha kwanza na cha reseating au haiwezekani. Natanguliza shukrani kwa mwenye ufahamu
0 Reactions
9 Replies
2K Views
habari wakuu, nauluza wallio apeal bodi ya mikopo 2014/15 majina yanatoka lini au yako wapi ili tujue tunawalipia ada vijana wetukwa ajili ya semester y pili au tuwasubiri wao, wengine walisema...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wapendwa napendakuuliza lini selection za kujiunga na kidato cha tano mwaka huu zitatoka
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari wakuu, naomba kufahamu nilini hasa registration zitaanza kwenye vyuo vya Afya hasa vile vinavyotoa fani ya ufamasia. Pia napenda kujua muhula mpya unaanza mwezi gani? Ahsanteni.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jaman kama kuna mtu anakijua vizuri chuo cha madini Dodoma naomba ajitokeze kuna information nilikua nahitaji
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wana JF naomba kuuliza. Hivi ukiwa na diploma ya IT u aweza kusoma cissa au hadi uwe Bch au Masters ?
0 Reactions
2 Replies
740 Views
Wanafwatilia zaidi vipindi ambavyo walimu hawataingia kuliko vipindi ambavyo wadhahili wataingia. Wakiingia darasani mdhahili asipokuwepo macho yote kwenye saa yaani inapofika nusu saa tu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…