Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wakuu naombeni kujuzwa waliofaulu vizuri form iv huwa wanaendelea kukimbiza vidato vinavyofuata? Alie na hizo data aweke hapa.
0 Reactions
30 Replies
12K Views
Wasalaam wandugu. Kumekuwa na mjadala siku nyingi kuhusu lugha gani hasa Hapa Tanzania itumike kujifunzia mashuleni hadi vyuoni, hapo kuna aina mbili za mawazo. Walewanao sema kiswahili kitumike...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Naomba msaada wa kuambiwa maana ya maneno haya. IFRS, IAS, IPSAS na IFRIC kama yanavyotumika kwenye fani ya uhasibu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi hawa jamaa nikweli wanatoa mkopo wa elimu kwa wanachama wao? Kama wanatoa mchakato wakupata huo mkopo ukoje!
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wadau, Nimeshangazwa sana na tangazo la kukinadi CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU JOSEPH linalorushwa na kituo cha televishen cha Startv,, Tangazo halina kichwa wala miguu,, maudhui yake...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za leo ndugu ,mimi naombeni msaada mwenye lecture notes za OHI 125 themes of africa pre history kutoka Open univetsity of tanzania au hata kama una course outline yake. please nisaidie.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wana JF, Samahani kwa kuwasumbua, nina uhitaji sana wa tovuti za vyuo mbalimbali kama Chuo cha sanaa Bagamoyo na Tumaini University Iringa, Ila sijui namna ya kuzipata, kwa mwenye uelewa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kuelekezwa wapi nitapata form ya st mar's mazinde juu sec kwa Dar es salaam
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nipo katikati mwa chuo kikuu SEKOMU taarifa kutoka kwa chanzo cha kuaminika toka chuo hiki ni kuwa wafuatao wamehusika mojakwa moja ktk mtihani uliokuwa umeibiwa kwa wanafunzi wa mwaka wa tatu...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nitawezaje kujua chuo feki vinavyo pokea form 4
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni mdau wa elimu ambaye naguswa sana na usimamizi mbovu wa mitihani ya mwisho ya elimu ya sekondari. Shule nyingi za private zipo kiabiashara zaidi, hazipo tiyari kuona wazazi wanalipa ada...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu! Nina swali dogo tu nataka kujua. Hivi kweli ni sahihi na inaruhusiwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuingia kwenye mitihani yao ya UE bila kujua course works zao? Inaruhusiwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimesikitika sana nilipokuwa katika kupitia matokeo ya Kidato cha Nne ya mwaka huu hasa pale nilipoangalia orodha ya Shule 100 bora na kubaini kuwa ni shule 6 tu za Serikali ndizo ziko kwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika kuelekea application za vyuo mwaka huu unadhani ni ipi top 5 yako ya vyuo unavyovikubali Tz? Karibu
0 Reactions
86 Replies
16K Views
Ninaandika proposal ya research flan (Community/medicine), kila article ninayo-google inakuja vizuri, lakini napata abstract tu, nikitaka kupata full research/reference naambiwa log in au ninunue...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Msaada jamani, nifanyaje kuwa na ac TCU na kufanya maombi ya kujiunga chuo? yani nina cheti na naitaji enda soma pitia TCU
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naombeni msaada wenu jamani juu ya iyo topic above. Naipenda sana hii computer lakini sijui nisome kozi ipi kati ya hizo ambayo ni nzuri zaid.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
vyo vya kilimo na ufugaji, vyuo vya uvuvi vyuo vya afya vyuo vya ualimu sayansi na vingine ilimradi vya serikali msaada tafadhali nafasi lini zinatangazwa na vigezo na vip wenye pass ila wana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba mnijurishe kama VETA kuna kozi ya MEDICAL LABORATORY na Ada ni shilingi ngapi na Muda wa kuanza kusoma ni mwezi wa ngapi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakati watu wanaendelea kuzungumzia uozo wa matokeo ya form4, huku zenj kuna majanga ya shule1 kwa wanafunzi wa adv wanaotarajiwa kufanya mthn may mwaka huu. Wanafunz hao waliokua waksoma komb...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…