Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Tutakua busy kujadili ugaidi, ila matokeo ya kidato cha nne ni uozo mtupu. People are too clever, hapa wanaua ndege wawili kwa jiwe moja. Matokeo yametolewa kwa mfumo wa GPA ambazo watahiniwa /...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Za asubuhi wanajamvi, Nianze kwa kusema mimi ni daktari nimemaliza degree yangu ya udaktari mwaka 2008 pale Muhimbili na sasa nachukua masters ya pediatrics (Magonjwa ya watoto) Mandela...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za humu... Wahenga walisema tabia ni kama ngozi ya mwilini kuibadili ni kazi sanaa... Nilipo anza kidato cha kwanza nilishindwa kuelewa ni kwanini haya yanatokea lakini niliamini ipo siku...
2 Reactions
95 Replies
18K Views
Umofia kwenu wana JF, Watoto wa Mcharo Angel na Jennifer waongoza matokeo ya kidato cha nne kwa kupata Div I za point 7(GPA 5.0) kila mmoja. Hongera Sana Mcharo.
1 Reactions
32 Replies
10K Views
Nina mdogo wangu ana pass ya 0.6 yaani ana C1,D1 na E4 sawa anangapi kwa mfumo Wa zamani achana na wasasa yaani ana division ngapi ya point ngapi, msaada
0 Reactions
4 Replies
973 Views
Binafsi sijaridhishwa na ufaulu wa wanafunzi katika masomo ya book keeping na commerce-form four mwaka huu. Siwezi kukubali kushuhudia professional ya uhasibu ikiendelea kudidimia at an early...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Ukifanya uchunguzi wako kwa makini utagundua vijana wengi waliosoma Uganda ama shule za msingi, sekondari na vyuo (ikiwemo vyuo vikuu) huingia kwenye tabia mbovu ya ushoga tena bila kificho, Mtu...
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Jamani toka jana matokeo ya QT hayafunguki kwa aliyeweza kuyaona anielekeze
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamii Sidhani kama ni kweli kiwango cha ufaulu kimeongezeka tena kwa kiwango kikubwa hivyo, mfumo uliopo sasa wa GPA ni tofauti na uliokuwepo wa divisions hivyo kiwango cha ufaulu hakiwezi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hi wana JF, naomben msaada kwa yeyote kama ana ratiba ya mtihani wa ualimu hasa daraja A anisaidie.
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Nasikitika sana kuona vijana mnatumia mitandao (kama huu wa JF) kuonyesha umwamba wa chuo kipi bora na kipi sio bora, au taaluma gani bora na ipi sio bora. Hii ina sikitisha sana. Kwa kifupi...
19 Reactions
99 Replies
34K Views
Baada ya viashiria vya kutosha kuwa mitihani yote ambayo ilikuwa imeishafanyika na ambayo ilikuwa haijafanyika kuwa nje kama soft copy naibu makamu wa chuo hicho DVC ARC ameamua kuifuta hiyo...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Kwani chuo chako hakini Examination Regulations? Au hujui kusoma kiingereza? Waambie wakutafsirie kwa kiswahili. I like this. . . . . . .
1 Reactions
2 Replies
913 Views
Mwanzo » Habari Madawa ya kulevya yazidi kuwaharibu wanafunzi Dar Na Moshi Lusonzo 14th February 2015 B-pepe Wengi wamegeuka ni 'mateja', Wanashiriki kucheza kamari , Wanao...
0 Reactions
1 Replies
929 Views
MATOKEO ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka jana yametangazwa. Watahiniwa 240,903 sawa na asilimia 60.6 wamepata sifuri, huku wanafunzi 23,520 tu ambao ni sawa na asilimia 5.16 ndiyo...
0 Reactions
140 Replies
22K Views
Tembelea: www.tihest.org kozi: uuguzi, clinical officer, medical laboratory and health records
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni vyema tusijadili sera mpya ya elimu na mafunzo ya mwaka 2014 kabla ya kuisoma na kuielewa. Mfano kwenye lugha ya kufundishia, sera imeshindwa kuchagua lugha ya Kiswahili pekee kuwa ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeangalia matokeo ya watahiniwa waliofanya QT 2014 kwenye website ya baraza la mitihani (NACTE) siyaoni...wameweka ya kawaida tu! Mwenye kujua namna ninavyoweza kuyapata haya matokeo ya QT 2014...
1 Reactions
11 Replies
10K Views
. kuelekea matokeo makubwa sasa kila mtu anatakiwa wajibike mahali alipo
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wadau imetolewa sera mpya ya elimu naomba ambaye amepata soft copy yuko anitumie au hata km hata copy
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…