Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Tanzania lazima ibadilishe mfumo wake wa ufundishaji kuanzia msingi ili masomo yote yafundishwe kwa Kiingereza isipokuwa Kiswahili kama majirani zetu. Ni aibu kuwa na watoto ambao hawezi kutunga...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Katika mtihani wa mwaka 2o13 kiwango cha ufaulu kimekuwa tofauti ,ambapo ufaulu wa mwaka huu ni mkubwa sana mno
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Matokeo Ya Kdato Cha 4 Tayal Yaxhatoka Tembelea Necta.Go.Tz
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari wanaJF, Nina mpango wa kusoma hiyo fani tajwa hapo juu but nina mpango wa kujiajiri hapo baadae. Nasikia zile mashine za mionzi ni ghali sana kwel? Unaweza kuazisha centre inayojihusisha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna cousre inayoitwa NON-DEGREE PROGAM, Msaada tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu! Serikali inaridhisha wananchi kupandisha elimu na ufaulu kupitia Big Results Now kwa GPA mpya.GPA hiyo na GRADES zake zinampendelea mtahiniwa ili mradi afaulu tu, tena kwa kiwango...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimesikia Kwamba Matokeo Ya kdato Cha Nne Yanatoka 29/jan/2015
1 Reactions
96 Replies
48K Views
  • Closed
Matokeo ya mitihani ya kidato cha nne nchini ya mwaka 2014, yanatarajiwa kutangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), Jumapili wiki hii. Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde...
1 Reactions
49 Replies
16K Views
Wana JamiiForums, naomba msaada wa kupata shule ya O Level niweze kumpeleka mdogo wangu akasome hapo. Sifa iwe na walimu wazuri, iwe na ufaulu mzuri wa matokeo ya kidato cha nne. Kama iko nje ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari na poleni na majukum mbali mbali Naomba kwa anaye kifahamu chuo cha Maabara kilichopo DSM kinatoa diploma ya mwaka mmoja kwa anaye kifaham anitupie data hapa full ma anwani na contant...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwaka jana nililazimika kuahirisha masomo ya chuo baada ya kukosa loan due to "budget exhaustion" sasa nina mpango wa kuomba upya mwaka huu ikiwa ni pamja na kubadl faculty na chuo! sasa je kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni kijana niliemaliza kidato cha nne mwaka jana naomba mnisaidie nikisomea medical laboratory ninakuwa nani na kazi nitaomba sehemu gani nikimaliza kusoma
0 Reactions
6 Replies
4K Views
KWA UFUPI Kufahamu ngeli za Kiswahili kunamwezesha mwanafunzi kuelewa upatanisho wa kisarufi katika sentensi, kutambulisha maumbo ya umoja na uwingi pia kufahamu uhusiano wa Kiswahili na lugha...
0 Reactions
7 Replies
22K Views
Ni uamuzi wangu baada ya kukaa kimya na kuona kuna haja ya kupiga hatua ya pili na kuacha kulalamika na kusemasema tu(zogo) Nataka niitumikie taaluma yangu ya ualimu na jamii pia
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Hello wapendwa habar? kipind nkiwa nasoma shule fulan huk moshi shule yet ilikuwa na marafik kutok scotland every years walikuwa wanakuja kututembelea kwa kuambatana na wanafunz wao na sis mara...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu wadau? Mimi ni Mwalimu wa sekondari nimehamia kikazi wilaya ya Mvomero na nimepangiwa shule ya Lusanga iliyopo Turiani. nahitaji kufahamu mazingira ya mji, miundombinu yake ilivyo.
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Naombaga ushauri wenu kati ya diploma ya IT, ICT AU COMP SC. Iv ni ip nzur kusoma ukmalza unaweza kupata kazi nzuri yenye mshahra mnono.
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Ni mdogo wangu kamaliza fomu 4 Uganda sasa nauliza kwa wanaojua na wenye uzoefu katika hili mnisaidie, huyu dogo ataweza kukubaliwa aunge fomu 5 hapa Tanzania baada ya kuhitimu fomu 4 huko Uganda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana jamvi... nina hitaji msaada hasa wa mawazo... nina ndugu yangu anafanya kazi bank moja hapa nchini, jana kaniambia anataka kusoma shahada/degree ya business admnistration/business...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baadhi ya degree za Makerere University haziendani na kile alichovuna mwanafunzi!!! Ma-professor wanagawa tu hizo degrees. Soma zaidi hapa Makerere University: Uganda investigates 'degree...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…