Wadau wa jukwaa la elimu habarini za saivi.
Naombeni msaada kwa wote wanaoweza kuniwezesha kufanikiwa katika FIELD yangu kupitia taaruma ya TEHAMA/ICT ngazi ya cheti.
Ninaitaji sehemu ya kwenda...
Kiukweli kutoka moyoni napenda kuwa mwalimu, kwanza ni watu wenye maadili pia ni watu wazuri sana katika kutoa maamuzi, ni watu ambao wwa waanaongozwa na busara kuanzia kwenye akili zao na hata...
Kiujumla aliyebuni wazo la shule za kata inabidi akae chini awaze tena kwa mara ya pili namna ya kuboresha elimu kuanzia shule za msingi ndipo za kata zitaendelea.
Shule nyingi za kata zilizoko...
Jaman kunauvumi ambao umesambaa kuwa necta ya form 6 inaweza kuwa mwezi wa tatu au wa tano kama baraza la mithihani walivyotoa ratiba yao hapo awali hivyo nilikuwa naomba nipate uhahika kuwa jeeh...
Habari zenu wana jamvi, mm nina degree ya Geografia na mazingira baada ya kufanya application nyingi na kuitwa kwenye usaili pasipo mafanikio nimekaa na kutafakari kuwa nisome postgraduate ya ila...
100 Best Secondary Schools In AfricaPosted on Sat, 27th Dec 2014
There has been a marked rise of very good secondary schools all over the continent. Whilst government schools within African...
Pie ni mathematical constant inayopatikana kwa kuchukua circumference ya circe ukagawa kwa diameter yake..
Kuna fact moja about pie ambayo ni very fascinating.. Unajua value ya pie inaanza na...
Source gazeti la uhuru tarehe 26-12-2014. Nimeanza na chanzo ili kupunguza maswali.
Binafsi nimeshindwa kuwaelew hawa wasomi wetu juu ya uwezo wao wa kuchambua mambo ili kuja na suluhisho...
Viona Shina Leboo, a Kenyan girl from Loitoktok shines at Harvard By Abuta Ogeto Updated Thursday, December 25th 2014 at 09:56 GMT +3 Tweet She is beautiful and has got brains, traits that have...
Habari wanafm! mm ninamdogo wangu alimaliza degreevya ualimu na aliajiriwa sasa anataka kuchukua mastaz hiyo hiyo ya edction so ni coz gani achukue? but mbaya zaidi anambia hajui kama atakubaliwa...
habarn wanajamvi! mm ni kjana wa umri wa miaka 19..nilimalza A_level 2012 Nkapata dv4 ya points 26..
Kiukwel napenda sana kujifunza sana na kujua zaid mambo mbalmbali yahusuyo...
Yaani kumbe kama Taasisi tajwa hapo juu zisipokuwa na Matukio jukwaa hili linapooza kiasi hiki? jamani kama TCU, HESLB au NACTE hawana matukio basi jitahidini mlio na upeo wakielimu muwe mnapost...
Natumaini mko poa.
Nlikuwa naomba kujua kama kuna uwezekano wa mtu anaesoma soma combi ya PCM kupata kozi ya medicine..
Kama inawezekana ni vyuo vipi vinavyohusika???kwa hapa Tanzania.
Thanx...
Merry Xmass Wanandugu,
Kichwa cha Habari chahusika, naomba msaada wa link nayoweza kuangalia Selections za Form 1 mwakani 2015, kila nikiangalia naona link zenye maksi tu, sio selection...
Habar zenu,
Ndugu yangu kapangiwa aanze kidato cha kwanza shule flani ya kata, sasa mimi ninampango wa kumuhamisha na nimpeleke shule ya bweni.
Ni hatua gani nizifuate ili nimhamishe kabla ya...
ndugu wanajamii nimefanikiwa kupata scholarship B.COM chini ya early bird scholarship offer katika hicho chuo lakin sio full. nahitajika kujilipia ticket pamoja na msosi chuoni kwa miaka 3.kama...
Excuse me friends,
Je kuna ukweli wowote wa mtu anayesoma combi ya PCM kuapply medicine na akapata???
Kama ndio..,ni kwa vyuo vipi inawezekana????kwa Tanzania.
God bless us all.