Definition of 'Escrow Account
An escrow account is a temporary pass through account held by a third party during the process of a transaction between two parties.
Definition: An escrow account...
Nimeweza kuenda kwenye website ya NECTA nikatazama matokeo ya mtihani wa darasa la saba. Jambo ambalo lilinishangaza sana ni Kuwa kuna shule Moja ya English Medium ambayo iliweza kuwa ya tatu...
Ndugu wanajanvi ,naomba tulisemee ili kwa nguvu zote.Serikali imekuja na mpango unaoitwa BRN il kuboresha elimu lakini hii imekua kinyume bali umegeuka na kua mpango kuaribu elimu Tanzania.Hivi...
Starting January 1, 2015 IMF will provide all online data free-of-charge to everyone.
For more information open the link below
The Second IMF Statistical Forum-StatisticsÂ-for Policymaking by...
Mwanafunzi aliyefunika hisabati darasa la 7
Mwanafunzi bora wa somo la Hisabati katika mitihani ya taifa ya darasa la saba iliyofanyika nchini Septemba mwaka huu, Rachel Kiunsi (13).
Mwanafunzi...
Yale maneno ya chini chini kuwa kuna mchezo unachezwa ili kumfanya DVC-A&F wa SUA kuendelea baada ya muda wa utumishi wake wa umma kukoma yanaweza kuzima sasa. Hii ni kutokana na machakato wa...
Wakuu mwenye kitabu cha c++ programming; program design including data structure (6th edtn) by D.S Malik au Learning computing with robot by Deepak Kumar
pia Management information system...
Wakuu, heshima kwenu! Dogo anamaliza Mitihani yake ya Kidato cha IV wiki ijayo. Kama ilivyo ada, anatakiwa kujaza Fomu ambayo, pamoja na mambo mengine, atachagua Shule kwa ajili ya Kidato cha Tano...
Jaman mwnye taarifa anijuze maana nimeona wametoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya afya kupitia wizara ya afya kwa ngazi ya cheti na diploma ,naomba kujuzwa ni lini na...
Salam wakuu,
Habari za asubuhi? Direct to the point: Nimekua nikijiuliza sana kuhusu chili swala la ufanisi wa kazi between graduates wa abroad na wa hapa nyumbani. ukiangalia watanzania wengi...
Hivi sasa unaweza kusoma nchini China kwa masomo ya shahada ya kwanza na shahada ya uzamili katika fani mbalimbali kwa gharama nafuu sana inayoanzia shilingi milioni saba tu kwa mwaka. Gharama...
Kwa kweli nimeangalia matokeo ya ualimu imenishangaza kidogo. mfumo huu wa kuweka madaraja ya ualimu ni mzuri ila kuna dosari ambazo nadhani zingefanyiwa marekebisho.Kama katika ngazi nyingine...
Naomba kuelimishwa jamani mimi ni mmoja wa walimu walioajiriwa mwaka 2011 sasa nataka kujua kupanda daraja kunakuwaje mana nishatimiza miaka mitatu lakini sijapandisha daraja na je inawezekana...
Nimekutana na dada mmoja leo akaniomba ushauri lakini mm nilishindwa kumpa ushauri kwa mara moja nikamwambia nitafuatiria nitakwambia nn cha kufanya
Ipo hivi yeye alisoma mpaka form two baada ya...