Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba mnisaidieni kwa hili,vyuo vimefunguliwa na wengine washaripot na wanasema mpaka ulipe angalau nusu ya karo na fees nyingne,sasa mimi ntalipaje karo na cjajua kama bodi ya mikopo kama...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wakuu, Msaada au aliye chaguliwa hapo anijuze jinsi ya kupata fomu nimechaguliwa ordinary diploma. Vp kuhusu tarehe ya kuripoti nk Natanguliza shukraan
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tanzania Commission for Universities Transfer Procedures 1. Introduction TCU had been experiencing a number of applicants seeking transfer after the announcement of selection results...
1 Reactions
103 Replies
40K Views
Habari wana JF mim ni mwanafunz nimemaliza mwaka jana 4m 4 nikapata dv 3 nilifikisha vigezo vya D flat na C za eng na math kwa certficat nikaomba chuo nikapata nursing ila ile nimefika tu chuo...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Habarini wakuu.... kesho ni tarehe 6/10/2014.... siku ambayo university of bagamoyo usajili na orientation course inaanza kama sikosei.... kutoka na maelezo ya join instruction yao ni kuwa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
mwenye tetes juu ya hil atujuze" kwa wale tuliomba Transfer majb tnapewa lini? wengne tlipochaguliwa mwanzo tayar registration imeshaanza" na tnaogopa kwenda ktoa direct cost wakat hatujajua...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
kwa taarfa wanafunz wa shle ya sekondar njombe jana usku walichoma moto bweni, duka, pamoja nakuharibu mali za walimu wakipinga uongozi kandamizi shuleni hapo
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wale wanaohtaj MD,PHARMACY,LABORATORY kiufup wale wa maswala yanayousiana na afya golden chas kwao sasa tcu wametoa orodha ya vyuo na coz za afya pamoja na kias cha watu hitajika yan kuna nafasi...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa wale ndugu mnao kwenda kuanza shahada ya kwanza kuwa makini sana kwani kuna baadhi ya vyuo hata public sectors vimekuwa vikigoma kabisa kufanya usajili kabla ya kulipa asilimia 60 ya ada...
0 Reactions
57 Replies
9K Views
Leo tarehe 7 loan board kimyaaaa.. Mzee kanambia nisahau chuo kama board haijatangaza majina...jaman watoto wa wakulima mbona tutakoma,tarehe 11 natakiwa nireport chuo kuna usalama hapo...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
............................................
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu wana Jf mim ni kijana niliyemaliza kidato cha 6 mwaka huu nina miaka 20 nimepata div 3 ya 10 HGE nimechaguliwa kujiunga na chuo St. Joseph, ila kutoka moyon mm napenda kuwa daktar na hiv...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tangu jana nililipia fee kwa ajili ya kuomba mkopo heslb. M-pesa walinipa transaction ID lakini nimejaribu kuomba mkopo mpaka nachoka. Wananipa msg hii " M-PESA Transaction ID does not Exist We...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Kutana na watu wenye akili zaidi duniani, swali la kizushi, mbona kwenye list hakuna mwafrika? ni kweli waafrika hawajawahi kufanya mambo makubwa, je ni kweli IQ za waafrika ni ndogo? 10. Stephen...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Leo nikiwa ndani ya daladala asubuhi akaja dogo dent akaketi siti ya pembeni muda kidogo katoa daftari na kuanza kupitia notice nadhani alikuwa anaelekea kwenye paper ile asubuhi...sasa na mi...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
msaada waungwana lab coat znapatkana wap??
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Sote ni mashahidi kwamba Serikali hatimaye iliamuru fedha hizo zielekezwe katika ununuzi wa vitabu na madawati kwa shule za msingi, kwa kutambua kwamba wananchi wangeunga mkono hatua hiyo...
0 Reactions
0 Replies
877 Views
poleni wote mlio wapenzi wa jukwaa hili kwa mihangaiko ya kutwa nzima.Lengo langu ni kutaka kufahamu namna ambavyo PSPTB inavyo mkonsider mtu mwenye postgraduate diploma ya ugavi na aliye na...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu naomba kwa anaefaham tar ya kuripoti chuon kwa 1st year anifahamishe nashindwa kuelewa chuo hakijaweka almanac kwenye web yao.natanguliza shukran
1 Reactions
18 Replies
7K Views
Habari ya asubuhi. wana jf naomba kwa yeyote anaefahamu kama kuna uwezekano wa kusoma degree ya chemical and processing engeering kutoka kwenye diploma ya clinical medicine (clinical officer)...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…