Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hayo yametokea baada ya kila mmoja kuongea lake kuhusu tarehe na muda wa kufanyiwa addimition.Hivyo nataka kujua ukweli wa jambo hilo.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
jamani nilikuwa naomba nifaamishwe kama majina ya first year muhas 2014/2015 kama yameshatoka au bado make mimi nimefuatilia saana lakini bado sijapata data kamili naombeni mnisaidie kunielewesha.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau hii course iko poa?...ina tofauti ganii na BAF YA KAWAIDA?
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Nashangaa sana tatizi linajulikana, walimu hawana pesa, endapo watalipwa japo milioni moja tu kama cash kwa mwezi, mtashangaa. wote wanaosemasema wanajisumbua tu. wengine wanafanya hili tatizo...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani naomba msaada kwa yeyote mwenye contact au joining instruction ya Ifunda Girls Sec. School. Mdogo wangu kachagaliwa pale kwa mabadiliko yaliyofanyika juzi. Naomba mnisaidie jamani
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Jaman kama kuna mtu kachaguliwa hapa naomba anielekeze japo mahitaji ya Muhimu, maana sijapata joining instruction au kama ulisoma hapa miaka michache iliyopita, maana hata sale sijui ni ipi
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nimemaliza diploma mwaka huu nimeapply vyuo kadhaa mpaka mda huu sijapata majib bado profile yangu inaonesha checking in progress baada ya kuuliza nikaambiwa et one among liquirements ya kujiunga...
0 Reactions
3 Replies
980 Views
Heshima kwenu wakuu Nimechaguliwa University of Bagamoyo. Kilicho nileta hapa ni hiki pale tuna report kuanzia tareh 6 had 15 sasa katika kulizia harakati za hostel kwa watawala wa pale...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za muda huu ndugu zangu. Naomba kujua ni jinsi gani naweza kureset my application kwenye akaunti yangu ya NACTE na je kuna malipo yoyote yanatakiwa kufanyika? Vile vile ningependa kujua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WanaJF naombeni mbinu hizo mzilist kwa kila subject
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Naombeni kdogo maoni yenu juu ya hili, Tcu wanaonesha nimechaguliwa chuo cha MZUMBE (BECA), Lakini majina waliyotoa MZUMBE jinalangu halipo.. Hapo kuna tatizogani?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani for those new students wa T.I.A registration tar 6 oct. Na tar 13 oct kitabu kinaanza, for more information visit T.I.A website
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Oyaa! Halafu nyie jamaa mnae soma elim ya juu kwa fedha za mikopo halafu naomba mjue kwamba hzo ni kodi zetu kwahiyo mpango Wa kua na sim za laki 8 hata laki 3 tu Mimi naona mnazingua lakin pia...
2 Reactions
100 Replies
10K Views
Chuo nilichopangiwa kinafunguliwa tar6, nimefanya transfer sijajibiwa. Je ni niende kuripot chuo nlicho pangiwa Ikumbukwe ntakua nimeshalipa direct cost alaf nikipata transfer si itakula kwang...
0 Reactions
2 Replies
955 Views
  • Closed
Naona huu utaratibu umekuwa sugu hapa State University, leo Prof. Kihore anafanya muhadhara hapa Yombo 5, amekuja na mzungu wake, anafanya video shooting. Napata mkanganyiko kidogo, Profesa...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu naomba kwa yeyote anayefahamu chuo chochote kinachotoa kozi ya human resource kuanzia pass 2 nimemaliza form four nina d-2,e-3 na f-2
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nyie nakte mmenipa aibu ya mwaka...mtaa mzma wanajua nasepa collg pale mzumbe but not selected. .kwa majina yao...ushauri tafadhali ninaweza omba open kwa mda huu na nikapata
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hi wana Jf.Kama nilivyo tangulia hapo ,kwa niaba ya vijana wenzangu wenye wazo Kama hilo la kutaka kupatiwa elimu ya uandaaji Wa mradi (project plan) Kama sijakosea . kwa udadi yetu ni vijana 25...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ivi kweli tulio kosa vyuo na wakatuambia tu applay upya si ndo mkopo basi tena au mnaniambiaje mana majina yatakuwa yamepelekwa tayari bodi ya mikopo
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…