Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

msaada ndugu km kuna aliyeona post za university of iringa
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Nmechaguliwa bachelor of computer science in software engineering. Je inatofaut gan na bachelor of computer science in information system? Je soko lake la ajira likoje? Na kama vp au nihamie hiyo...
0 Reactions
1 Replies
863 Views
Habar wakuu Mwenye ufaham naomba anijuze yale majina ya waliochaguliwa st john ni kwa st john center zote au ni center ya dodoma tu? Nahtaj ya center ya dar es salam Ahsante.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jaman mm nimemaliza kidato cha 6,na nikaapply then tcu,wakaniambia niapply second round,lakn course zilizo ckuzitaka na mm nataka kuchukua mambo ya afya,na nimesoma CBG na point 12, baada ya hapo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau samahani kwa yeyote anaefahamu lini post za mweka znatoka atujulishe maana tunakaa na presha tu vyuo vingine washatoa ..mweka hata dalili hamna na siku zinazidi kwenda.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nisaidien link nijue km nimechaguliwa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu, nilitaka kujua kama ni vyuo vyote wameongeza siku za kufungua kwa continuing student ukiachana na SUA na UDSM ambapo nimesikia?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajf nimeshangazwa sana na utaratibu wa shule ya Green Accres ya hapa Dsm kwa kitendo chao cha kuwaagiza watoto wanaosoma pale tena wanakaa boarding kwenda na pesa za tuition, wakati huo ada yao...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jaman majina ya waliochaguliwa kusoma ORDINARY DIPLOMA FOR SECONDARY EDUCATION yalitoka yamechelewa ila nacte wakatuelekeza kuwa tuombe mkopo wakati muda wa kuomba mkopo ulikuwa umeishapita .je...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hivi admission letter zinapatikanaje, coz ukifungua kwenye web ya chuo zinakuja schools na faculties tu.
0 Reactions
2 Replies
757 Views
Kuna ambaye profile yake ya Nacte, haifunguki hadi sasaiv kama yangu? Jaman selection tayari zishaanza kwa wale wote wa equivalent ( diploma ), ingien ktk profile zenu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kuangaliziwa nilikochaguliwa,jina ni oscar d nzali,s1148/0024/2003.Nawasilisha wakuu.
0 Reactions
0 Replies
629 Views
Wadau naomba mnieleweshe, TCU wametangaza majina ya waliochaguliwa na vyuo husika ndio vimeyatoa ila ninachashangaa wale tulioomba kupitia NACTE tulio wengi hatujachaguliwa yaani waliochaguliwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
tafadhali kwa anayefahamu kidogo kuhusu nata girls anifahamishe.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pia kwenye account yangu (CAS) vyeti viondolewa (attachments) wameandika GPA yangu Dear ----------------- You are informed that, basing on General Content of Study, Function of Programme (i.e...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
naomben msaada kwenye profile yangu nikiangalia nakuta YOU HAVE BEEN SELECTED.lakn haioneshi chuo.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Jaman mimi niliomba kusoma diploma pale MUHAS lakini mpaka leo nikiingia kwenye website yao sioni selection zao.Je ztatoka ln? Jambo hili linanichanganya sana kwa kuwa niliomba nafasi pale TIA na...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Je, bachelor of science with education open university ntapata mkopo kweli maana ndo nimechaguliwa hiko chuo wakuu
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Note that only those who have paid at least 50% of the necessary fees will be allowed to register. Registration of first year students will be closed formally on Friday, 24th October, 2014. Swali...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Salaam wana JF. Natumia data analysis software (SPSS) nimekwama kwenye kipengele cha ANOVA jinsi ya kuelezea. Mwenye kujua vema tafashali naomba anisaidie.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…