JINSI YA KUFANYA WINDOWS YAKO IWAKE KWA HARAKA.
Kwa watumiaji wa Windows XP tu.
Fungua Notepad (start >> all programs >> accessories >> notepad) kisha andika maneno haya ndani ya notepad "del...
wadau nimeapply chuo cha mipango dodoma kozi ya ba in development economics lakini baada ya kumwambia mzazi wangu amesema chuo hiko ni kibaya bila kunipa sababu zozote na deadline imepita tayari...
Heshima mbele wakuu.
Nina mdogo wangu amehitimu kidato cha nne; ufaulu wake ni Divisheni 4 point 30. naomba mnisaidie chuo cha ufundi ninachoweza kumpeleka ili apate mafunzo yatakayo msaidia...
wana jf nataka kufanya application kusoma degree kwa njia ya equivalent, nina credit mbili za o leval physics na mathematics lakin nimesikia kwamba kama auna credit tatu huu mpango auwezekani...
Ndugu Zangu Napata Wakati Mgumu Kujua Chuo Nilichopangwa,nipo Interior Sna Naomb Yeyote Alofanikiwa Kufungua List Aniangalizie
Badru M Alfan
Index No. S.0939.0018.2003
the selected students to pursues various degree program at university of Dar-es-salaam are kindly informed that to visit the university web site and to red carefully all important requirement that...
Ingia hapa kwenye website yao yapo!
http://uoa.ac.tz/
To All Students who have been selected by TCU to join UNIVERSITY OF ARUSHA
for academic year 2014/2015 kindly note that you are...
Naomba mwenye joining instructions ya Institute of accountancy Arusha (IAA) aniwezeshe hapa, au mwenye kujua jinsi ya kuiaccess maana nimeingia kwenye website yao sijafanikiwa kupata, hata kama ya...
Haaya sasa wale wa first batch tayari. Lakini sijui kuweka link aje mtu atupie.
FIRST BATCH OF STUDENTS SELECTED TO JOIN UNDEGRADUATE DEGREE PROGRAMMES FOR
ACADEMIC YEAR 2014/2015
The following...
Jamani kuna vitabu viwil vya majina mum kimoja cha direct schime na equivalent schime applicants selected so sijajua kama kuna tofaut baina yao ama nini maana yake
sijui ninini? kwani wilaya ya ngorongoro mishahara imeingia nusu na wengi wao hawajapata ingawa tayari wapo kwenye pay roll. wengi wanasema kwasababu imetoka hazina direct hebu wenye uelewa zaid...
Habari wakuu,
nina shida na kitabu cha hard choices, kimeandikwa na Hillary Clinton,
nimekitafuta bookshops nyingi sikipati, kwa mwenye kujua tafadhali.
shukrani.
Naomba msaada wenu wana forum,kwa ninavyojua maisha ya chuo kikuu tofauti na skuli fee huwa kuna garama nyingi kama chakula na hostel na kwa mazingira ya udom ni lazima ujigaramie kwa chakula na...
nimekua nikishinda kwa mtandao
kuchek selection katka vyuo mbali mbali mpaka na macho yanauma sasaa.....
ila....nimekutana na selected applicant 1st batch maana sijaelewa nifahamishe...