Wakuu salam zenu ningependa kujua chuo cha sua kipo katika geographia gani nikiwa na maana umbali kutoka mjini,mazingira ya chuo kwa ujumla..nk....karibuni mnisaidie kwa mnaokifaaham iki chuo...
Below is the list of students selected to join KIU Dar es Salaam College for those applicants who applied to KIU through central Admission System (Click the item to view the list)
Business and...
Wanajamvi naombeni msaada. Naona majina mengi yaliotolewa na hivi Vyuo ambavyo tayar vimeshatangaza majina ya waliochaguliwa, wengi ni Form Six freshers au mie nimeona vibaya?? Sasa swali...
Selected Candidates to join into Diploma in Pharmacy, Medical Laboratory Technology & Nursing-3rd Batch
Third batch CHS.pdf
Second batch CHS.pdf
Selected CHS.pdf
Serakali imefuta rasmi kidato cha nne wenye ufaulu wa divisheni four ya point 26,27,33 na 34 kusomea ualimu katika vyuo vyake.
Hii ni kutokana na vigezo walivyovitumia katika kuchagua wanafunzi...
kwa anayefahamu jamani naombeni mnisaidie juu ya hili, kwa waliomaliza form six mwaka huu 2014, principle inaanzia ngapi D au C? na je kama mtu katika matokeo yake amepata grades CDE kwa matokeo...
The management of SUA is pleased to inform the following candidates that they have been selected to join various Certificate and Diploma programmes for the academic year 2014/2015 which starts on...
Wadau nina mdogo wangu anataka kusoma kozi hiyo Chuo Kikuu Huria Tanzania, tafadhali mwenye kujua gharama zake hadi kozi kukamilika anijulishe.
Ahsanteni!
Habari zenu all jf members!
Wakuu najua humu jamvini wako watu ambao wame apply Kam college na vyuo vingine vya private kutokana na hofu iliyotanda juu ya compition...