The University is located to the north of the magnificent Uluguru Mountains, some 4 km from the centre of Morogoro Municipality, about 100m off the Morogoro-Dodoma highway and just about...
Taarifa iliyotolewa na NACTE katika ukurasa wao wa facebook mda huu, inasema kuwa kikao cha joint admision kimekaa na kukamilika leo hii. Katika taarifa hiyo wamesema kuwa kazi ya kutoa majina...
Kiukweli chuo chetu hakina majengo makubwa ya kutisha, lakini mziki wa kozi tunaoupata kiukweli lazima ujipange kwani wa kufa mtu,kwani hatuendi pale kuchukua degree bali tunaenda pale kuitafuta...
Wadau wa hili jukwaa,
Mchango wenu wa mawazo unahitajika. Mtoto wangu wa kike amemaliza STD 7 last 2 weeks hivyo namtafutia Boarding, girls, private na iwe mkoani ili kupunguza unnecessary...
Habari wakuu,
Chuo kikuu cha jordan kimetoa selection kwa mlio kichagua, Bofya link chini kuona majina.
Jordan University College
Selected Students for Bachelor Programmes by the Central...
niliomba vyuo vinne kozi nizipendazo na cha tano nikawe koz ambayo siitak kwa sababu sikupenda kuomba chuo cha binafsi je, naweza kukuta nachaguliwa koz ya tano na kuachwa hizo za mwanzo?
Hasa wakati wa orientation week(s) waambiwe mambo ya msingi kama vipi unapata course works,kusap kunatokeaje na hata kudisco.
sio mambo ya kuoneshwa cafeteria na vyoo....watazijua tu wakisikia...
Wanajamii nimemaaliza chuo cha IFM degree ya banking and finance naombeni msaada nisomee masters gan chuo cha mzumbe? itakayokuwa msaada kwamgu kwenye mambo ya biashara?
Hili swali kwa kweli huwa najiuliza sana kwa nini vyuo kama vitano hivi,yaani MOROGORO Muslim University,Akhakan,Zanzibar University na vyuo viwili vingine nimevisahau, huwa wanachagua majina...
Habari za asubuhi kwa wanajukwaa
Ninae mdogo wangu alirudia kufanya maombi ya chuo kwa huu mwaka ikiwa pamoja na bodi ya mkopo... lakini kadri muda unavoenda kile chuo chake kimemuita kuendelea...
Wadau.
naomba kujua kama inawezekana kuomba chuo unachokipenda directly kama tcu hawakukuchagua katika kozi/chuo unachokipenda ie vyuo vinaruhusiwa kuchagua wanafunzi bila kupitia TCU
Wadau kaka yangu alimaliza diploma of electronics and telecommunication engineering ana g.p.a ya 4.7 mwaka wa jana, je anaweza kuchaguliwa petroleum engineering apo UDSM akifanya application apo...
Wadau mko poa
Nahitaji msaada wa mawazo juu ya hili swali linalonisumbua kichwani.. Nimemaliza diploma mwaka huu na kuna sehemu najishikiza kidogo ss nataka niendeleee na masomo yangu ya degree...
Wadau naomba kuuliza iv kama nina degree ya pharmacy alaf nataka nisome masters ya medicine,kama nitapiga kwanza postgraduate ya medicine then ndo nkapga masters ya medicne, je anawezekana...