Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Natafuta kitabu cha statistical methods kilicho andikwa na s p gupta STATISTICAL METHODS BY S P GUPTA
0 Reactions
1 Replies
749 Views
Nafahamu mtakua na mchecheto sana wa kutaka kuyafaham maisha ya chuo yalivyo hasa hapa SAUT main campus.. kwa hiyo kwa mliochaguliwa hongereni jamani. Kwa yeyote mwenye swali kihusu SAUT Main...
1 Reactions
67 Replies
9K Views
Nina mdogo wangu aliapply medical na pharmacy katika vyuo vya MUHAS, KCMC, Bugando n.k lakin amekosa nafasi. TCU wakamletea second selection achague koz nyingine katika vyuo vingine mimi nikampa...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
WALIMU wa secondary wilayani KILOLO wametakiwa kutoa fedha tsh.10000 kila mmoja na sh.500 kila mwanafunzi kwa ajiri ya ujenzi wa maabara wilayani humu. taarifa zinasema kuwa fedha hizo zitakatwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar zenu wanajamvi? kuna rafik yangu yeye kaomba chuo mwaka huu -2014, sasa anauliza kama kuna uwezekano wa kuahirisha mwaka wa masomo,aanze mwakani {2015/2016;je! ataweza kukubaliwa? na...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Je unajua kuwa Chuo kikuu cha Dar es Salaam ni chuo cha kwanza Tanzania, ni chuo cha 31 Africa na kinashika nafasi ya 2319 Duniani !?:wof:
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naitwa Abely,ni mkazi wa iringa,nina kipaji cha uandishi wa riwaya na mashairi,ninatafuta mdhamini ambae yupo tayali kuiendeleza kazi yangu,mimi mwandishi ambae najiamini kuwa naweza na endapo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale waliomba SAUT Bukoba majina yametumwa kwenye email zao na sms kwenye namba zao za simu. Kufungua chuo ni 19 Sept
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa yeyote anaye weza kunipa press contact za LONGIDO SECONDARY NTASHUKURU SANA. HASA NUMBER YA SIMU YA MKUU AU ACADEMIC SCHOOL NINAMDOGO ANGU KACHAGULIWA SECOND SELECTION NATAKA KUJUA SUALA LA...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Jamani nime apply chuo ila mpaka leo system check kwa anaye fahamu aniambie kabla ya muda kuisha
0 Reactions
290 Replies
41K Views
Habarini wanajamvi napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwenu. Naomba kuuliza swali eti wale waliopita kwenye first round ya TCU wanauhakika wa kupata vyuo moja kwa moja au hata wao...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES(TCU) URGES ALL STUDENTS THAT APPLIED FOR THE UNDERGRADUATE DEGREES FOR ACADEMIC YEAR 2014/15 TO TAKE THEIR RESULTS SLIP AND LEAVING CERTIFICATES FROM THEIR...
0 Reactions
47 Replies
9K Views
Wadau msaada kwa anayejua post za diploma muhimbili zinatoka lini?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari, Mdogo wangu amesoma PCM na kapata division 4 na grades zake ni DDC. Kaniachia jukumu la kumchagulia chuo kupitia CAS, angependa kusomea Civil Engineering. Je kwa ufaulu huo anaweza...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Ijapo kuwa profile zetu;zimeandikwa YOU HAVE BEEN SELECTED,na bado hatuna uhakika wa kupata hivyo vyuo ;kutokana na mdau mmoja kusema "mchaguzi utafanywa tens ktk chuo husika"je kuna ukwel hapo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jamvi nina shida ya matokeo ya acsee necta mwaka 2014 lakin siyaon website ya NECTA plz mwenye nayo anitumie kwenye email yang rashidj066@gmail.com
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habar zenu kwanza, hoja yangu mm ni kuhusu hawa jamaa wanaotunga sms na kusambaza kwa wa2 kila cku kuhusu hawa TCU, sielewi nia yao wanataka kuwatia wenzao presha au wana malengo gan? Tusaidiane...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau toka vyuo mbal mbal vyuo vyenu vinaruhusu mtu mwenye sup na special kufanya vyote? maana hapa iaa ni shida hurusiwi inabid uanze na special then til mwaka ujao unafanya sup nkimanisha kwamba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba msaada wenu sababu nimejaribu kuwapigia TCU simu haipokelewi; Ni hivi nlikosa 1st selection, nika apply 2nd selection, wakaniambia, CONGRATULATIONS YOU HAVE BEEN SELECTED. Sasa hivi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Niliomba nafasi ya kusoma mafumzo ya ualimu ngazi ya cheti, Naomba kwa mwenye majina aniangalizie jina langu tafadhari.
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…