Wadau wa Elimu mi nataka kujiendeleza japo umri umekwenda. enzizetu kwenda shule ya upili ilikuwa shughuri. ukizingatia shule ilikuwa moja MWANZA na baadae ikaja PAMBA. nifuate nini ili niweze...
Kuna rafiki yangu kapata division two pt 9 mwaka huu combination ya PCM, mimi nilimshauri katika selection zake aanze na UDSM kwani matokeo yake siyo mabaya. Yeye amepata B plain kwa masomo yake...
Wakuu JF inaweza ikafufua matumaini yangu, baada yakukosa kuchaguliwa ualimu. Hivyo basi naomba mwongozo wenu.
(1)vyuo vyamifugo wameshaanza masomo? kwa vya selikali ada ni sh ngap?
(2)vyuo...
Wandugu. Mdogo wangu kachaguliwa kujiunga shule hii ya Missungwi kwa CBG namimi ndio naisikia hii shule. Natafuta contacts zao ili nifuatilie joining instruction na ikiwezekana nijue kabisa kama...
Kutokana na Vyuo vya GOVERMENT Kuto chukua walio pata div4 kwa ngazi ya cheti ualimu, ndivyo hivyo hivyo Vyou vya private kufuata program kama ya goverment itakayo anza mwakani.
kama bado unataka...
Tangu niache kupost jf nilikua msomaji tu wa post za watu le na mimi nimerudi kwa ajili ya msaada wa mawazo kidogo.
Ninapoishi nimezungukwa na walimu wa chuo nimekuja kutafiti nikaona hii kazi...
Mimi ni mmoja wa wanafunzi waliotuma maombi ya mkopo ya elimu ya juu.
Katika fomu Yangu ya mkopo nilisahau kuambatanisha kitambulisho cha Mdhamini.
Sasa jina langu halipo kati ya wale waliokosea...
Jamani habari zenu,mimi nimechaguliwa chuo tajwa hapo juu,hivyo naomba kukutana na wenzangu waliochaguliwa hapo au wanaosoma hapo ili tujuzane mambo muhimu kuhusu chuo.
Kama jinsi ya kufika...
Ipi ni kozi nzuri katika maisha ya sasa kwa level ya Diploma kati ya courses hizi, Computer Science, Business Adminstration na Community Development.
Nashukuru sana kwa hilo.
Hivi supose ukienda masomon mf. Kwa miaka 3,bahati mbaya ukakumbwa na CARY AU RETAKE yaani unatakiwa kuongeza mwaka 1 zaidi ili uhitimu. Utaombaje ruhusa tena kwa mwajiri wako? Ili uweze kumalizia...
VYETI VYA ELIMU YA JUU VITUMIKE KAMA DHAMANA YA WASOMI KUPEWA MIKOPO YA KUJIKWAMUA.
Habari jumapili Wana JF wote kwa ujumla.Jamani nimekuwa nikifikiria muda mrefu sana ni kwanini vyeti vya elimu...
Wanajamii kutokana na ufaulu wa kutisha kwa form six mwaka huu. Mnaonaje vyuo vyote kutengeneza inteview exam kwa masomo yote. Kwa wanafunzi wote waliochaguliwa na tcu. Atakaye fail. Anarudia...
Jamani nina mdogo wangu anasubiria selection za vyuo but nimejarb several times kulogin kwenye account yake ya TCU but inaniandikia login failed.
Kuna mtu yeyote aliyewah jaribu kulogin ikakubali ?