Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wadau wa elimu chuo cha ualimu Tukuyu hakijapangiwa wanafunzi. Nahisi kimewekwa kando kusubiri watakao chaguliwa diploma ngazi ya sec, au cheti primary level. Mwenye taarifa za kina atujuze.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wadau. Naomba kuuliza: mwenye degree ya BAED anaweza kusoma MASTERS zipi ukiondoa masomo yake mawili ya kufundishia? Naomba kuelimishwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Polen na kazi wapendwa, pia poleni na stress kwa kile ambacho wizara imefanya, kusema ule ukweli mim niliamua kuwasiliana na mkuu wa chuo Tukuyu, akanambia wakuu wa vyuo vya ualimu vyote...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau habari, Hivi chuo gani kina ada nafuu kwa kusoma post graduate diploma ya education? Kama ukiweka na vigezo itakuwa safi sana. Nawasilisha
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jamvi? Kuna ndugu yangu amemaliza chuo fulani. Mara tu baada ya kuanza chuo, aliniomba nimsaidie fedha za kujikimu kwani mkopo wake haujatoka. Nilimsaidia, baada ya muda kidogo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama Kuna Anayefahamu Mahali Kilipo Chuo Cha Ualimu Morogoro. Na Kama Umepangwa Hapo Na Umepata Joining Istruction Nipe Maelezo Tafadhali,
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Namshukuru mungu sana nimekoswa na panga la serikali, nimechaguliwa kujoin mtwara teachers college, waliochaguliwa wengine tuwasiliane kupitia 0763175935
0 Reactions
0 Replies
10K Views
Waalimu wa shule za msingi wilaya ya Sengerema, mkoani Mwanza wamekuwa chanzo cha kufanya vibaya kwa wanafunzi wao kutokana na kujihusisha zaidi na kazi ya kuendesha pikipiki za kubeba abiria...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau wote wale wanaosoma physics naomben mnijuze subtopic za mechanics zipo ngapi na ni zip, kunachalii ananibishia hapa.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Naombeni website ya chuo chochote cha urubani kilicho uganda kwa wale wanao vifahamu tafadhari..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa waliochaguliwa kozi tajwa hapo juu mnatakiwa kuomba mkopo bodi ya mikopo haraka sana, hii kwa wale wa masomo ya sayansi na hisabati tu. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10/9/2014 Kumbuka...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Samahan ndugu zangu, nilikuwa naomba kufahamu juu ya uwalimu wa dilpoma in science wanaapply vip maana nimeshindwa kufanya transaction kati ya mpesa na bodi ya mikopo ile namba trasaction id...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
nimea apply Nursing pale UDOM lakin alama zangu zinanitia mashaka sana nina chemistry E, Biology B, geography B. ( three ya 12). naweza kuchaguliwa au nisahau?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, natoa Uzi huu kwa masikitiko makubwa. Mi ni mwanafunzi Wa hapo st. Joseph arusha campus, typo home tunasubiri hat a yetu kwani tuligoma kuingia darasani mwezi Wa 8...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Wadau wa elimu naomba leo tujadiri faida na hasara za TCU katika elimu ya chuo kwa upnde wangu mm naona haina faida yoyote ile.... ni bora watu wangekuwa wanachukua form chuoni lakin co kupitia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Samahanini, jamani kwa mtu yoyote anayejua Details Au kujua kuhusiana na chuo hichi Chalinze Teacher's Collage. Tafadhali naomba msaada wa kujua ada pamoja na mambo mengine / unaweza kunipata...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
wakuu naomba kujuzaw tofauti kati ya Bachelor of Science with education, bachelor of education in science na bachelor of education with certain subject either mathematics, physics or chemistry...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
naomben msaada wenu wana jf kwa anae ifaham shule ya makita
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nimemaliza kidato cha sita PCM mwaka 2014 matokeo ni DDE. Sio kesi xana nime aply TCU coz za education kwenye vyuo vitano vikiwemo vya private viwili. Shida ni kwamba ata nikipata chuo nikapiga...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za leo tena wanajukwaa? Kutokana na malalamiko mengi ya ubovu wa elimu Tanzania je ni kweli elimu ya tanzania haikidhi mahitaji? Na ni zipi sifa za elimu bora? Je hizo sifa hazipatikani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…