Kuna tatizo kubwa sana linanisumbua juu ya mwanangu shuleni.
Yupo class one na ni shule nzuri tu tena English medium.Tatizo ni kwamba mwandiko wake ni mbaya kupitiliza, sasa nashindwa kuelewa...
Niliomba Nafasi Ya Masomo Ya Stashahada Ya Elimu Ya Msingi Mimi Ni Mwalimu,jina Langu Limetoka Nimepata Nafasi,tatizo Langu Ni Halmashauri (.,..) Walitoa Majina Ya Walioruhusiwa Kwenda Kusoma...
WanaJF naomba tujadili hili suala la sisi watu wa arts kuchagua education kwa wingi!
Je ni kwamba kozi nyingine za arts hazina ajira kabisa, au ni kuogopa changamoto za maisha, kuogopa koz...
Habarini wakuu,
Yeyote mwenye uzoefu juu ya hili naomba anijulishe, kwamaana najua kuna watu wengi humu wamesoma elimu ya chuo.
Vipi kuna uwezekano wa kulipa gharama za chuo(diploma in...
For recent graduates of law schools or graduate programs in journalism, international relations, area studies, or other relevant disciplines from universities worldwide.
Unrestricted Fellowships...
ume register chuo,ukakubaliwa,umesoma semister nzima,umefanya u.e,matokeo yametoka umefaulu,then unaambiwa umedisco sababu hujalipa ada?isitoshe ni chuo cha serikali(sua).
wenye uelewa juu ya...
Jamani hii course hapo IRDP ya HUMAN RESOURCE IN PLANNING AND MANAGEMENT ANAWEZA KUPATA MKOPO????na je kozi gani anaweza akapata mkopo mbali.na education na ualimu????
Halo vipi? unaweza kujaribu hili swali?
"Explain withvivid example the features which differentiate community development from other discipline of development" .
Shalom makamanda!
Mbali ya kuwa na changamoto za ukosefu wa ajira na kushuhudia wimbi la vijana wakizunguka na bahasha mitaani,
Lakini hali ni tofauti hasa kwa vijana waliomaliza vyuo vya...
Nimekuta habari hizi ukurasa wa facebook wa NACTE.
Hii inawahusu waliomaliza DIPLOMA MWAKA HUU 2014, na wanahitaji kuendelea na masomo (kuendelea na degree mwaka wa masomo 2014-15), matokeo yao...
Habari.
Mwenzenu niko kwenye hali ya kukata tamaa na kukosa matumaini kabisa ya maisha. Nimemaliza form four miaka kadhaa imepita sikufanya vizuri, nimereseat mara tatu hii mara ya tatu ni mwaka...