Jamani tuelezane chochote unachojua jamaa tuambizane mambo muhimu kuhusu hostels, je zipo na ada na je kunachochote tutatakiwa kwenda nacho siku ya kufungua chuo mimi niliulza lakini wakasema...
Please naomba msaada wenu. Nataka kuchukua form Jomo Kenyata University Arusha branch for post graduate project management course.
Naomba mwenye kujua chochote before sijatake hiyo hatua wiki...
Ni facult gani za sayansi nzuri kusoma chuo, kwa mtu wa CBG na PCB ambazo ajira ake ni rahisi kupata na zina mshahara mzuri???? Naombeni rafiki zangu mnisaidie kabla ya tareh 29 ili applctn tujue...
Habari zenu wadau.
Mimi nilimaliza kidato cha nne mwaka 2009 na kufaulu kama ifatavyo;
1.Biology....C
2.Chemistry....B
3.Physics.....D
4.Mathematics.......D
5.Geography......D
6.English.......C...
Ndugu,
Ninayofuraha kukutangazia kua kampala international university tawi la dar es salaam watatoa mkopo mpaka asilimia 50 kwa coz za miaka mitatu na 40% kwa coz za miaka minne mpaka tano kwa...
Habari zenu ndugu zangu.
Nina ndugu yangu alimaliza form6 miaka ya nyuma kwa bahati mbaya alipata principle pass moja akakata tamaa akaamua kuapply diploma chuo kimoja kamaliza mwaka huu ila...
Toka mwezi wa nne tangazo lilipotoka mpaka hii leo hakuna majina yoyote ya wanaotarajia kujiunga na mafunzo ya uliamu, hivi serikali kupitia wizara inafanya nini!? Yaani mipango inabadilika kila...
Habari za usiku wakuu?
Naomba kufahamu kama hapa Tanzania kuna vyuo vinavyotoa mafunzo ya madawa ya asili. binafsi nimesomea mambo ya madawa ya hosptalini na kwenye familia yetu wote wamesomea...
Sijui huu ni uvivu wa kufikiri au ni kitu gani! wadau wa elimu. Hii imetokea huku kwetu(nyanda za juu kusini-ruvuma), mwanafunzi wa kidato cha nne, aliamua kuandika matusi na baadhi ya mistari ya...
Tafadhali kwa mwenye uelewa juu ya hili aniandikie kiasi cha ada kwenye chuo husika kwa hapaTz. Nahitaj kufanya masters bt Kufanikisha hil kwangu uchumi ni kikwazo plz..!
Tumekwama kwenye foleni kubwa muda huu baada ya wanachuo kugoma na kulala barabarani, njia ya kwenda mikoani Singida, Tabora n.k
Madai
1.Elimu isiyokidhi viwango
2.Elimu bila mitaala
3.Wanadai...
Nina siku ya tatu nahitaji kuomba mkopo wa diploma in education ya miaka mitatu ya UDOM lakini link yake ya olas haifunguki.
mwenye taarifa au msaada wadau.
Habari zenu wadau.
Mimi nilimaliza kidato cha nne mwaka 2009 na kupata Division Three na ufaulu wangu ulikua hivi;
1.Bioligy...C
2.Chemistry..B
3.Physics...D
4.Mathematics....D
5.Geography....D...
Kwa waheshimiwa
Dr. Shukuru Kawambwa
Hawa Ghasia
Jenista Mhagama
Agrey Mwandry
Kasim Majaliwa
YAH . KUMLALAMIKIA AFISA ELIMU WA SHULE ZA MSINGI MANISPAA YA MOSHI KWA...
Habari zenu wana JamiiForums, Poleni na majukumu ya kila siku..... naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma MA wakati ni tofauti na degree ya kwanza niliyosomea?