Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Salaam kwenu waungwana Nina mdogo wangu anasoma hapo UDOM, Ila cha kushangaza dogo analalama hadi sasa bado hawajapewa hela ya kujikimu huko mafunzoni, kuna tatizo gani kwa nchi yetu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msaada kwenye tuta wakuu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Have you being struggling to boost your sales? "ACTION-BASED SELLING SKILLS" are your tools. Follow the link for more details...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
naomben ushauri wenu et iyo koz ikoje kwenye upande wa ajira
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wapendwa mm ni mwalimu nilie pangiwa ajira mwaka jana, lakini sikuripoti kwasababu nilipata shule ya private na mpaka sasa nafundisha private school! Sasa kutokana na mambo ninayo kumbana nayo...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Tafadhali kwa yeyote mwenye material ya somo la life skills naomba aniPM jamani, naomba msaada tafadhali na Mungu wa mbinguni atawabariki wapendwa wangu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
+255753173104,+255685761742,0715590538,+255766783601 kama hayo manamba nayo yanamilikiwa na matapeli. Tazama majina yao unaweza kutana nayo sehemu yoyote ya utapeli. Mojawapo ni Honest Mgona lipo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu mimi nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana na kupata dalaja la pili point 20, na kachaguliwa kwenda A level sasa anamwenzake amechaguliwa chuo apo DIT anasema uyomwenzake awezi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani mimi binafsi sielewi nini hasa kigezo kinachotumika kuchagua wanafunzi wa kozi ya kilimo kwann nasema hivyo' Kujiunga na Diploma ya kilimo: Sifa:Uwe umefaulu masomo ya sayansi kwa alama D...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Salamu sana. Ni binti yangu. Amemaliza fom six. Kwa sasa yuko JKT kwa mujibu wa sheria. Amesema anataka kuingia uhamiaji. Ufaulu wake ni 1.7. Alisoma HGL. Bado hatujawasilisha fom za kujiunga...
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Socrates (469 – 399 B.C.)believed in two types of knowledge: important and small. He acknowledged that most of us know many trivial things. For example, a craftsman practices of his...
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Kwa watu wa diploma GPA zina pangwaje? yani pass inanzia wapi, je secondclass, je uppersecond, firt class je,..... mfano degree ni 2.0 - 2.6,pass 27-34 lower second, 35.... naombie mnijuze?...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa aliye pata credit mbili katka masomo ya combination mfano histor D, kisw B,na english language C,{HKL} je kwa shule za private hawezi kusoma advance akiwa na daraja la nne alama 32?
0 Reactions
15 Replies
43K Views
Utakuta wazazi wengi wanajisifu kwa watoto wao,enzi zangu nilikuwa sikosi hesabu hata moja,hapo anamkokoteni au konda mlangoni,au mimi sikuwahi kupata ziro,je mzazi wa nani alikosa hesabu?!
0 Reactions
1 Replies
726 Views
Watanzanzania Wenzangu kwa anayefahamu kwa undani CHUO CHA OPERATING THEATRE MANAGEMENT SCHOOL MBEYA naomba anifahamishe! Nahitaji kujua location ya chuo na namna ya kufika.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
nataka kumpeleka binti yangu shule mojawapo kati ya hizo, amefanya interview na kufaulu zote, sasa sijui kwa maoni yenu wanajamvi ipi nzuri kwa future yake?
0 Reactions
36 Replies
9K Views
The Government of the Czech Republic offers scholarships within the framework of its Foreign Development Assistance in support of the study of foreign nationals from developing countries at public...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Habar tembeleeni website ya wizara ya kilimo kujionea majina wameweka tiyari
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wandugu wana JF nilikuwa napitia kitabu cha binti yangu anayesoma darasa la nne kwenye kishule flani jina nalihifadhi... nimevutiwa kuangalia kitabu hiki baada ya kumuuliza maswali rahisi lkn...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wadau hiyo shule ipo pande gani.
0 Reactions
5 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…