Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kwanza mi nikiri kuwa GPA ni kipimo cha kisayansi juu ya uwezo wa mtu darasani (but not applicable in practical life) hapa namaanisha hakuna mahusiano ya moja kwa moja kati ya GPA kubwa na...
6 Reactions
58 Replies
9K Views
Wadau mi nilisha jaza form yangu ikaniandikia ready for submission.sasa jana naenda kuprint inaniandikia form incomplete kufungua inaoneasha guarantor form ipo incomplete but nkiicheki yote...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Naomba msaada wa mawazo yenu juu ya kufungua chuo cha mafunzo ya computer. Ninazo facilities kadhaa za kuanzia mafunzo ila nahitaji sana kupata usajili ili nitoe vyeti vitakavyotambuliwa na VETA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mimi ni mtumishi katika wizara Y nimeajiriwa toka mwaka 2010 kwa level ya certificate in Computer Science(hyo ilikua km entry point il mkono uingie kinywani) wakati naajiriwa nilikuwa na Advanced...
0 Reactions
1 Replies
723 Views
Naomba mnijuze kozi hii kazi zake ni zipi, na unaweza kuajiriwa katika sekta gani serikalini au private... je inalipa?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
napatikana dodoma nimemalza cha4 mwaka jana na nina div 3.. nataka nisome IT and JORNALISM now natafuta chuo kizur hapa tz... nifahamishen tafadhal WANA JF
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kwa anaye jua jinsi ya kuhesabu cutoff points za vyuo naomba kujuzwa, nina mdogo wangu ana alisoma PCB ana biology C Chemistry C na physics E.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Hi friends! Tatzo langu ni kuwa nina pc yangu na nataka nimsaidie mdogo'ngu kuapply chuo ila kila nkijaza zile faculty codes na kutick kweny option iliyopo inaniambia hv; WARNING!!,NO PROGRAMS...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ingia hapa http://m.facebook.com/story.php?story_fbid=863040287041184&id=467603266584890&refid=17
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa,, nauliza hatua za kuhama shule kwa 'A' level kutoka shule moja kwenda nyingine hatua gani? Huwa zinafuatwa,, naomba mwenye uelewa anijulishe
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Wanaopata wazimu vyuo vikuu ni kuzidi kwa material kichwani au ni mikono ya watu, au pengine ni ufrimason wa bondi ya mikopo
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mdogo wangu akesoma PCB ana ana C mbili E moja na D anaweza pata chuo?? na hapo points ni ngapi kwa kisasa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi application ya kujiunga Chuo ni Tar. NGAPI? Kwenye tangazo lao TCU NA NACTE la tar.8.4.2013 linaonesha ni tar. 31.07.2014 na kwenye guidebook ambayo ni ya mwaka 2014/2015 ni tar. 31/08/2014...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Mdogo wangu kachaguliwa kozi ya afya sasa kila niki confirm inakataa kumbe mpesa confirmation code yake aliikosea kuinakili. Nimejaribu kuwapigia mpesa wananiambia meseji watanitumia lakini leo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kwa wale form six uliza any question kuhusu kujaza ud na probability ya kuchaguliwa kulingana na ufauli huu mpya
0 Reactions
145 Replies
16K Views
Nimateso, udhalilishaji, uonevu, kukosa utu, kutokujari wasomi...sisi wanafunzi wa vyuo vikuu tunanyanyasika sana huku mtaani.Tunaishi kwa shida na taabu jaman mtuhurumie...niwiki ya 3 sasa...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
habari wanajamvi hili!! jaman nilikuwa naomba mnisaidie kunijuza kwa anayefahamu.selection za uwalimu ngazi ya awali zinatoka lini? tafadhar jaman kwa anayefahamu anisaidie
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jinsi ya kuapply vyuo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habar zenu wadau wa elimu,mimi ni kijana niliyemalza form 6 mwaka huu,toka zaman nilkuwa nataman nisome UDSM lakn klchokuwa kinaniumiza kichwa ni kwamba kozi nnayoitaka(archtecture)haikuwepo na...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wana jf nimesikia kuwa chuo cha rukwa college of health science>sumbawanga kuwa kimefungwa na moh je kuna ukweli ndani yake.
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…