Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari zenu wadau. Matokeo ya form 6 ndio yameshatoka na tumeshuhudia mabadiliko makubwa ya alama za ufaulu, kwa mda uliobaki naomba tusaidiane ufafanuzi wa Kuingia Chuo Kikuu kwa kutumia mfumo...
1 Reactions
23 Replies
12K Views
Jamani kozi gani naweza,pata mkopo mbali na education na science courses kwa degree
0 Reactions
2 Replies
794 Views
Habari zenu wana jamvi napenda kujua jinsi ya kuomba mkopo loan board na gharama zinazohitajika kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo kwa mwaka 2014/2015. asanteni
1 Reactions
10 Replies
8K Views
Habari wana JF kuna tangazo limewekwa katika website ya wizara ya afya http/www.moh.go.tz browser yangu ya uc inasumbua haitaki ku preview kama kuna mwenye uwezo alipachike hilo tangazo hapa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hakuna jambo linalo katisha Tamaa na kutia simanzi kama dharau iliyonayo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama KUTOTHAMINI MADAI YA WALIMU NA KUENDELEA KUONGEZA MADENI YASIYO NA MSINGI...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
  • Closed
Kuna kila dalili Matokeoyaform six kutangazwa Leo Nawatakia matokeo mema wote wenyemapenzi mema
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwalimu mmoja ajira mpya ameuwawa kikatili na wananchi wenye hasira baada ya kusababisha kifo cha mwanafunzi wake. Mwalimu huyo alikuwa anafundisha Shule ya Sekondari Chinamili iliyopo wilaya ya...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Kila asubuhi na jioni nashuhudia udhalilishwaji wa viongozi wa baadae yaani wanafunzi wa leo jinsi wanavyohanya na usafiri wa mabasi pindi wanapoenda au kurudi mashuleni. Wanakuwa ni watu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za asubuhi jf? Nawapenda sana kwani upendo ndo faraja pekee ktk maisha ya mwanadam. Jaman naomba mnijuze kama post za kilimo na mifugo kama zmetoka tafadhali jaman maana nmejaribu kuangalia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi hawa loan board wanataka tufe njaa au? ni week ya pili Sasa tupo Field mikoani huku hawajatupa pesa ya kutumia, Kama kuna wadau Wa loan board humu ndani jaman watu wanakufa njaa huku mikoani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wanafunzi waliomaliza, kozi za Bachelor of Veternary Medicine (BVM),Bachelor of Food Science & Tech (FST),Bachelor of Agriculturural Engineering (AGE)...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari mimi nimemaliza kidato cha nne mwaka uliopita sasa nimechaguliwa HGE naombeni mnijuze juu ya hii tahasusi(combination) tafadhali
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salamu zenu wadai. Naombeni ushauri ikiwa ni pamoja ya information ya hiki chuo kiitwacho KILACHA Agriculture and livestock training institute. Kwenye form kinaonyesha Diocese of Moshi; kwangu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wale wahitimu wa DUCE 2013 naomba mnijuze kama vyeti vimetoka maana huku mkoani sina mawasiliano kabisa. Kwa anayefahamu naomba anijuze.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wale tunaosoma Yohanza Wavenza tujuane
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wana jukwaa poleni na shughuli zenu za leo. Napenda kuwajulisehni kuwa Chuo chetu cha Elimu ya Biashara (CBE) kitatimiza miaka 50 tangu kianzishwe tarehe 25/01/2015. Chuo kimepanga kuzindua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wa JF nimechaguliwa kozi ya Health distrct management sasa sijaielewa hii kozi inakuaje, nafasi zake za ajira ziko vipi?? Na pia hawa ndo watu gani??? Mm sikuichagua nilichagua crinical...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
jamani anayejua joining instruction za nyakato bukoba naomba
0 Reactions
0 Replies
865 Views
KWA WATU WA ARUSHA Plz nisaidieni,kuna m2 ambaye anakitabu cha fundamentals of physics ambaye angetaka kuniuzia au labda kuna ambaye anajua sehemu kinapatikana anitaarifu,please nakihitaji.
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Jamani nauliza hivi kwanini vyuo vya kikatoliki vinalazimisha watu kufanya mitihani siku ya jumamosi? ila jumapili hawawezi? na wakikujua wewe ni wa jumamosi ndio wanakuambia ukubali kwa kuweka...
0 Reactions
115 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…