Wanajamii naomben mnijuz,mtu asiye fauru biology,anawez kujiunga na chuo maabara kwa ngazi ya awali,akipata sifa aendelee na ngaz ya cheti,anaejua anijuze
Wadau plz naomba mnisaidie hili. Nataka kuanza kujiendeleza kwa muda wangu mwenyewe baada ya kuomba ruhusa ya masomo kutoka kwa mwajili wangu bila mafanikio. Nimeona pale UDOM kuna MBA executive...
je wewe ni mwanafunzi au mtu yoyote unataka kujiendeleza kimasomo katika ngazi yoyote ya elimu na hujui pa kuanzia? binafsi natoa ushauri wapi unaweza ku-apply kulingana na grades zako kwa sasa...
Hellow wana JF, hope wazima. Nahitaji kachukua course ya interior designer.
Kwa sasa hivi niko Dar es salaam na ningependelea chuo nikupate Mwanza ila sikijui hata kimoja, lakini kama ntakusa...
Habari zenu wanajamii forum.mimi ni kijana ninayesoma Minaki high School,dar es salaam kwa combination ya PGM.nilikuwa naomba kujibiwa swali langu kuwa,mtu anayechukua PGM and then labda akafeli...
Once I attempt to download certain apps in my android I always experience failure message "Your content-filtering does not allow you to download this application" I have checked the "unknown...
Niaje wadau,nacte wameachia selection awamu ya kwanza.lkn kwa baadhi ya profiles za waombaji zimeandikwa"selection still in progress pls b patient..na ktk current status pameandikwa "PS"ina maana...
Tanzania Revenue Authority (TRA)
Despite complaints by private school owners regarding the multiple taxes imposed on them, the Tanzania Revenue Authority (TRA) has directed them to continue to...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDSM tarehe 05/04/2014 kitamtunuku Mhe. Freeman Mbowe shahada ya heshima yaani Honorary Doctorate Mhe. Freeman Mbowe kwa kutambua mchango wake wa kukuza demokrasia...
nipo wilaya ya nzega idara ya msingi natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi aliyeko ARUSHA,MBULU,KARATU,AU MANYARA anitafute kwa NO. 0758405749 au Grolyshayo@gmail.com
Nimeipata kutokakwa Mdau
CANDIDATES WHO FAILED MODULE E , A candidate who failed Module E under the phased out syllabus shall be required to sit and pass the following papers in order to be...