Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Mimi nimemaliza masomo ya chuo kikuu tangu 2013 july Kinachoniuma ni kwamba hadi leo hii 20\5\2014 vyeti bado hatujapata na wote tulifaulu na mahafali yalifanyika 14/12/2013 TUFANYEJE?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wanajf kuna ndugu amemaliza kidato cha nne na kupata pointi 35, anataka kusoma nursery school teaching, je kozi hii ina tija? na ni vyuo gani vinavyotoa kozi hii?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya kifo cha ghafla cha Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mamlaka Kuu ya Uteuzi imemteua Balozi Mwanazuoni wa Siku nyingi Mhe. Kuhanga kuwa Mkuu Mpya wa CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Ni kuhusu hili swala la chuo na advanc... mm nataka kwenda chuo na nimepata dvshn three nikiw na CCC masomo sayanc japo wazaz wangu mm hawataki nende(hawajakataa kabisa yani hawapendi tuu eti...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Jamani wa jf hivi walimu wenye diploma(DSEE) wanaanza na mshiko wa sh. ngapi kw mwezi?
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuanzia mwaka wa masomo 2014/2015 waombaji wapya watatakiwa kuwa na alama(cut off) 4.0 katika kozi zote za sanaa, kwa kigezo hiki kuna watu wengi sana watanyimwa mikopo kwa kushindwa kufikisha...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Wazee kuna yeyote aliosoma Sinza Mihogoni humu.Kama yupo tukumbushane mawili matatu. Namkumbuka mwalimu MPWIDU Mzee wa yeke yeke,alikuwa akifundsha lazima akutemee mvua. Tukumbushane mengine.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
samahan jamani kuna utata nimeusikia eti mmesikia kuwa majina yametoka ambayo wanaojiunga na chuo cha utumishi wa umma magogoni mwenye detail kamili anijuze tafadhali
0 Reactions
0 Replies
10K Views
leo mida ya saa 5 asubui wanafunzi wanaosoma Ruaha Univety Collerge wameandamana hadi kwa prinsipal na uongozi mzima wa Ruco wakiimba nyimbo za kutaka wapatiwe hela zao za boom kwa mala ya mwisho...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Suala ni kwamba kuhusu post za kidato cha nne 2013/2014 zinatoka lini mana mpaka sasa ni miezi mitatu tangu tumepata matokeo. kwa hiyo mwenye kujua naomba msaada nawasilisha wakuu!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
naomba kujua,kwa form 5 wa mwaka 2014 kama nataka kuhama shule watakayo nipangia utaratibu ni upi? maana nataka kuhamia shule ya karibu na kwetu ambayo sikujaza awali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaman napenda nijue il mtu uende form v lazima uwe na point ngap kwenye komb.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wanajukwaa naomba mnisaidie hii mikopo inayoombwa sas hv ina2huxu had sisi kidato cha 6 tuliohtmu may au ni kwa waliopo mwaka wa 1 na kuendelea.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua utaratibu wa kuomba diploma ya ualimu mwaka huu. pia deadline ni lini na je maomba yashaanza kutumwa au vp.
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Habari wa wana jf, Nimejitokeza hapa kwa mara nyngne maana kuna kipindi nilikuja hapa na hoja kwamba kuna mpango wa kuanzishwa kwa bodi ya kusimamia utaalamu wa walimu na vikao vya siri...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Serikali sikivu ya chama cha mapinduzi inaendelea kuwaadhibu watoto wa wakulima na maskini wa Tanzania wanaosoma vyuo vikuu kwa uchelewesha pesa za kujikimu. Wamafunzi toka vyuo vikuu wa vya...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kwa alama hizi D2 ya Geography na Kiswahil na B1 ya Kingereza anaweza pata chuo kipi nje ya Dar es salam kwa kozi ya Records au Human Resources kwa ngazi ya Certificate
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…