Jaman kuna taarifa zozote kuhusu ya kutoa post za form five 2014?naomba tuambizane bac kama kuna aliye ckia tangazo lolote kuhusu post zetu,ili tuandae nauli kabla bado mapema
Ni kuhusu hili swala la chuo na advanc... mm nataka kwenda chuo na nimepata dvshn three nikiw na CCC masomo sayanc japo wazaz wangu mm hawataki nende(hawajakataa kabisa yani hawapendi tuu eti...
Hivi hakuna adhabu mbadala kwa mzinifu zaidi ya kupigwa mawe hadi kufa? mods naomba mnielewe vizuri na msiondowe uzi huu nia yangu ni kujifunza tu. NB: KAMA SIO MUISLAM MWENYE ELIMU HII...
Jaman naomba kuuliza kwa wenye taarifa....kuwa kuna uwezekano wa kulipwa pamoja Mwezi huu na mshahara wa mwezi April? Mwenye taarifa atujulishe jaman. Wale walimu wapya tafadhari
Habarini wadau wa elimu, Naomba kujua ada pamoja na gharama nyingine zinazotakiwa kulipwa kwa mwaka kwa ajili ya kusomea diploma ya ualimu katika vyuo vya serikali. Natanguliza shukrani kwa...
UNIVERSITY OF ARUSHA
Wizi wa laptop umeanza mfano Migombani Hostel
Wizi wa Gas cooker umeanza mfano karibu na Meru supermarket
Wizi wa ndizi umeshamiri mfano kariakoo na safari njema
HAYA YOTE...
walimu wa sekondari wilaya ya mbinga mmelipokeaje swala la kuweka kambi za kufundisha kwenye shule zenu wakati wa likizo? je unafikiri kuwa na kambi kwa muda mfupi wa likizo mnaweza kuboresha...
Habari zenu waheshimiwa. Ninaomba kujuzwa kuhusu hii kozi ya Bsc in Engineering Geology, ipoje katika usomaji?; mkopo wanapewa asilimia ngapi?; na vipi mtaalamu wa kozi hii soko lake ni kubwa...
Majanga..
Serikali imesema kuanzia mwaka huu wanafunzi wa kidato cha nne wanaopata daraja la nne hawataruhusiwa kusomea ualimu. Watakao ruhusiwa ni wale wa daraja la kwanza hadi la tatu...
Za saa hivi wadau.
Kuna dogo wangu kamaliza form six mwaka huu na amepangiwa kwenda JKT kambini mwezi wa sita mwanzoni.
Ni kweli wanatakiwa ku apply loan Board kabla ya kwenda JKT kambini.??
Wana Jf imekaaje hiyo course nataka nikasome diploma.Ninachoomba kufahamu ni wapi haswa ina apply,soko lake kujiajiri na kuajiriwa lipoje?
Natanguliza shukrani.
Nimeanza ona harufu ya migomo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vyote..vijana wa vyuo vikuu neno haki limeandikwa mara 372 kwenye biblia pia hata quran tukufu inaongelea hili neno haki....itakuwa ni...
Nimemaliza kidato cha nne mwaka 2013 na nina ufaulu wa division II points 18,LAKINI sitaki kwenda advance je ni course gan ya diploma naweza soma(sana course za sayansi)?
ufaulu wangu masomo ya...
kwa mara nyngne wadau!najua hiz koz zot ni nzur lkn vitu huzidiana!so nahitaj ushaur kabla ya maamuz,ip n nzur zaid(interms of every thing)ushauri wakubwa.
Poleni na pilila za hapa na pale wana JF. Naomba kuuliza ukirudia mtihani(kutafuta kredit) na ukafaulu vizuri.Je kuna uwezekano wakupangiwa katika shule za serikali?Natarajia majbu mazuri.