Salaam,
Dungu wana Jamii, wengi wenu najua mmekuwa mkitafakari sana juu ya neno hili ''Masikini mkubwa'' watu wengi wamekuwa wakiwaambia wengine kuwa ni masikini wakubwa, na neno hili baadhi ya...
ni15/5/2014 Kuna watu walisahaulika katika ajira mpya ya walimu likini tamisemi awatowi tamko la mwisho kwa wahanga hao kama Kuna mtu yupo dar au dom naomba aende ofisi zao aone kulikoni
Samahaani wana jamvi nilikuwa nna tatzo moja nilikuwa nataka kunadilisha jina langu na sasa hivi nipo chuo diploma ndo namaliza mwezi wa sita nataka nibadili jina kwenye vyeti vyangu vyoote jee...
Akizungumza katika kipindi cha Jahazi cha Clouds Fm tarehe 15-5-2014 ,Dr Kawambwa alisema fedha zimeanza kupelekwa kwa ajili ya kulipa walimu ili mwaka mpya wa fedha uanze bila madeni ya walimu...
kwa wanaohitaji tuition ya A leve masoma yafuatayo
1.biology
2.physics
3.chemistry
4.BAM mnakaribixha MWANZA mpate elimu ya awal kabla ya kwenda shule
ADA NI Tsh 35,000
wote mnakaribisha...
Kuna tetesi kuwa serikali imetoa tamko kuwa wanafunzi wanotaka kusomea ualimu serikali itawasomesha bure ikiwa watakuwa wamefahulu kuanzia daraja la 1-3. Je kuna anayejua hili vizuri?
Jamani ndungu, jamaa na marafiki kwanza natanguliza shukrani na kuwataka mchango wa mawazo. Hivi ukiwa admitted for surgery na upo katikati ya semester ni vyema kuendelea na masomo kama utakuwa...
Imekuwa kasumba na utamaduni unaozidi kuchipuka sasa kukuta maprofesa/walimu wa vyuo vikuu vingi hapa TZ (UDSM, SUA, SAUT, Makumira,TEKU, Muhimbili, ARU etc.) kutumia lugha ya Kiswahili...
MWANAFUNZI ASHINDWA KUFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE BAADA YA TUMBO LAKE KUVIMBA.......INASIKITISHA SANA..!!
MATESO kila kukicha. Kijana Shaggy Sadick mwenye umri wa miaka 18, mkazi wa...
mimi ni mwalimu idara ya sekondari nipo halmashauri ya tarime kwa yeyote anayetaka kuja tarime mi niende magu mkoa wa mwanza tuwasiliane kwa 0767045100 au 0789045100 Ahsanteni.
Wajaluo [Jo-Luo] hapa Tanzania ni zao la watu 40 tu waliopiga makasia kutoka Nyanza Kenya mpaka Musoma.Historia inasema kwamba wajaluo wametokea ASIA MINOR,Abraham alioa mke mwingine baada ya kifo...
Wakuu natafuta mwalimu wa kubadilishana nae idara sec. mimi nko wilaya ya Nyasa iko jiran na Mbinga nataka kwenda Njombe, Mfindi au Iringa phone no 0753925510 thx.
Wakuu
Mimi nimemaliza chuo kwa ngazi ya cheti (certificate in general agriculture). Nataka kujiunga na chuo kwa ajili ya diploma mwaka huu 2014/15, ila sijui vyuo vinavyotoa hiyo elimu.
Naombeni...
Husika na kichwa cha thread!!
Nina mtu wangu wa karibu anatafuta chuo kwa ajiri ya diploma kuanzia september mwaka huu!
Nimeleta kwenu ili niweze kumuepusha na vyuo vinachipuka kila siku...
Habari Wakuu
Tafadhali naomba kujuzwa muda(mwezi) ambao MUST huanza kutoa bridging course kwa Form VI Leavers ambao hawakukidhi vigezo vya kujiunga na course za Engineering , na taratibu za...