Habari zenu wadau
Nina mdogo wangu alikua anaapply mkopo Online (OLAS), alifanikiwa kuweka password kama inavyotakiwa. Sasa kila akitaka kulog in system inamgomea na kuleta ujumbe kwamba details...
Ndugu wapendwa kwa yeyote ambaye anategemea kujiunga na Mbeya University of Science and Technology(MUST) zaman kikiitwa Mbeya Institute of Science and Technology(MIST) jijin Mbeya kwa mwaka wa...
Wale waliokuwa wamepangwa Kambi la RUVU soma kupata marekebisho
(.VIJANA 1200 WAMEONDOLEWA KUTOKA KIKOSI CHA RUVU NA KUPELEKWA VIKOSI VYA MAKUTUPORA, MAFINGA NA WACHACHE
VIKOSI VINGINE.)
Pata...
Mimi nimepata 4.32 mwaka 2013 naomba msaada wa kujulishwa kuhusu kusoma PUBLIC ADMINISTRATION je chuo cha kozi hii kipo wapi? Ada, na kuhusu ajira zao kwa ngazi ya cheti.Ni hayo tu ndugu zangu...
Ndugu zangu habari za jioni ya leo?
Naomba kujua shule zipi nzuri za serikali zenye combination ya HGK,nina mdogo wangu anasoma Musoma sekondari,anaingia kidato cha sita mwezi wa SABA,naomba...
Habarin wadau wa elimu hapa., ni kijana wa kiume niliyepitia mitihan kadhaa katika maisha yangu, nimezaliwa kt familia duni sana, ni duni hasa yaani hata kipato cha laki 2 kwa mwaka ni shida(ni...
Hey friends mm ni mwalim wa English,Geography & History mwenye degree , kama kuna tempo mahari kwa walio dar tustuane kupitia 0712707564
Mkwanja maelewanoooo!!!!!!!
Naombeni mnijuze kuhusu bodi ya mikopo,ni kweli form six waliomaliza may mwaka huu wameshaanza kujaza form za mikopo? Na kama ndio vp nawezaje kujaza form zao?
Mbona siwasikii wale ambao walikuwa wanawasimanga walimu wa arts kwamba hawataajiriwa mwaka huu vipi mbona wamesizi hivyo au ulilishwa matango pori nini kuhusu ajira mpya za waalimu
Mimi nili-apply na kupata mkopo wa HESLB mwaka wa kwanza. Na nili-update information zangu kama walivokuwa wakitaka. Mwaka wa pili hawakunipatia mkopo wakidai kuwa siku-update mkopo...
Some of the parents from Magaoni village, Mabawa ward in Tanga urban listening attentively to representatives from Tanzania Education Network (TENMET).
Maimunas family perception of her...
Wana JF mimi ni muuguzi ninafanya kazi wilaya ya momba mkoa wa mbeya hospital ya tunduma, naomba kwa yeyote anayependa kubadilishana kituo cha kaz kutoka wilaya yoyote ya mkoa morogoro, na pwani...
Wadau wa Jukwaa la Elimu hamjambo?
Mtoto wa dadangu (msichana) alifanya mtihani wa form 4 mwaka 2013
na kuibuka na matokeo yafuatayo:
civics - D
Hist. - E
Geog - E
Kisw - C
Eng - C
Biol...
kwa kaka na dada zangu ambao mmedumu chuo kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa namanisha mwaka wa pili na kuendelea na ni wanufaikaji wa mikopo toka HESLB ninaomba ufafanuzi wenu japo kwa kina juu ya...
habari zenu wana jamii forum kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naingia diploma chuo kikuu cha tumain campus ya mbeya fulcuty BUSSINES ADMISTRATION na nataka mwaka ujao nifanye...