jaman wana Jf mm naombeni mjadala na nyie mjadala huo unaxema hv, hv vyeti vya Kidato cha .nne mwaka huu huwenda kitakua tofauti eeee,maaana mpaka xaxa havijatoka ...
Kwa wale mliwahi kusoma Kikuyu na kuacha watoto wenu pale Kikuyu na vile Vibinti VIKUYU basi jikumbusheni shule yenu. Bahati mbaya kwa sasa haipo tena maana kimekuwa Chuo kikuu cha Wa-Anglican. I...
Naomba kujuzwa eti bodi ya mikopo tayari wameshatoa form za kuomba mikopo kwa form six leaver??? Nijuavyo huwa wanaanza baada ya matokeo kutoka....ila kuna mtu kaniambia wameanza....msaada wadau...
Wanajamvi naomba msaada kwa anaejua tution ya hge kwa mwanafunzi mtarajiwa wa form5.amechelewa kuanza so nilikua nahitaji centra au mwalimu atakaeenda nae kwa kasi kidogo ili kumtoa u olevl.mdogo...
Kuna shule za sekondari za binafsi zinatangaza kudahili wanafunzi wa kidato cha tano hata wakiwa na d3 au c2 na d1 au d5 wanadai eti wameruhusiwa na wizara ya elimu.. Kama kuna mtaalam toka...
Almost everything is from our mind; the product of our thinking .Thinking makes an individual to act productively or destructively. I am not sure how many of us do something to equip or safe guard...
Wakuu Inasemekana kuwa div 1 had 3 ndio watakaojiunga na vyuo vya ualimu, je kama me nina Div 3 ya 31 na combi imebalance, nitachaguliwa kujiunga na kidato cha tano au ualimu? Na kama ni ualimu...
ufisadi ninaouzungumzia ni kwa kumpa zawadi mkuu wa shule ya sekondri ya bunda ya kuwa mfanyakazi bora wakati matokeo ya mtihani kidato cha nne kuna ziro 133 na hakuna hata division one. je...
Wanajamii kwa anaye zifahamu topic za history 1 and 2,za form 5, NAOMBA UNI ORODHESHEE HAPA TAFADHARI.
Na ningependa kufaham nn tofauti kati ya HISTORY 1 NA HISTORY 2!?
Tamisemi wametoa majina ya wafanyakazi wakiwemo waalimu waliohama vituo kwa vibali maalum leo hii mchana! Cha kushangaza ni kwamba hawatoi tamko lolote kuhusu watu waliokosa ajira!
Habari zenu wadau swali langu kama lilivyo hapo juu linalenga kufahamu kama kuna kozi ya muda mfupi juu ya web designing kwa miezi mitatu na kuwa na uwezo wa kudesign na kuhost site .
Kama ipo ni...
Ninatumia nafasi hii kukukaribisha Dr.Ndalichako hapa JF huku nikizingatia ufinyu wa wakati wako ambapo nina uhakika kabisa kuwa utakuwa unabanwa na majukumu mbalimbali kuanzia ya kikazi hadi ya...