Ijumaa iliyopta nilikua halmashaur kwangu nikifwatilia mambo yangu. Afisa utumishi wa wilaya akanidokeza kwamba kuna kundi kubwa sana kama si wote la walimu wapya wakakosa mshahara wa mwezi huu...
Jamani nimeomba field Barrick na wakanipatia E-mail yao (barricktz@barrick.com). Ambayo walihaidi itakuwa available Mei Mosi lakini mpaka leo nikituma application zangu inakataa. Tushauriane wadau.
habarini wapendwa!mwenzenu kuna hili linanitatanisha kuhusu kujiunga na ualimu ngazi ya cheti waliomaliza miaka ya 2004 -2012 kwamba waliokua hawakidhi alama za kujiunga sasa wanaweza kujiunga na...
wakuu kwanza nitangulize heshima kwenu..Mimi ni mtanzania niliyehitimu mafunzo yangu ya kilimo ngazi ya cheti mnamo may 2012..tangu hapo nimekua nikisubiri kuajiriwa lkn hadi Leo naona...
Shule ya Sekondari karatu ambayo ni Advance, imeingia katika mgomo baada ya kutopata suluhisho la kupatikana kwa maji, Kwa takribani miezi 5 toka mwezi wa 6 mwaka huu..
Wanafunzi pamoja na...
Wana jamii forum nilikua mnisaidie,mimi katika matokeo yngu nimepata dv three ya point 26 na masomo yote ya art yamebalance,ila katka ya sayans nimepta d ya chemistry bios b na geog c,je nisome...
habari zenu wana jf,mimi ni mwl wa manispaa ya kinondoni.Miezi miwili iliyopita manispaa waliniingizia pesa ya likizo ,kwa bahati nzuri au mbaya walinizidishia pesa.Baada ya wk 1 nikapigiwa sm na...
Wakuu naomba kueleweshwa juu ya hili lililotolewa na wizara ya afya 2014/2015 mbona sijaona nafasi ya clinical officer au mwaka huu hakuna nafasi hizo naomba wakuu mnieleweshe
Hatimaye nguvu, umoja na ushirikiano wa wanafunzi wa chuo kikuu cha dsm utarudi rasmi baada ya kukumbwa na tatizo moja (common grievances)
Hadi sasa majina ya malipo ya fedha ya kujikimu kwa...
Jaman kuna taarifa zozote kuhusu Siku ya kutoa post za form five 2014?naomba tuambizane bac kama kuna aliye ckia tangazo lolote kuhusu post zetu,ili tuandae nauli kabla bado mapema
Habari ndugu zangu.
Nimetumiwa meseji yenye ujumbe huu;
"Ndugu zangu wa vyuo vikuu tumieni vizuri pesa mlizonazo kwani serikali haijapeleka pesa bodi ya mikopo kwa sababu ya bunge la...
nimefurahishwa sana na jinsi walimu walivyoonesha hisia za madai yao wakati wa maandamano ya siku ya Mei Day! Wakati wakipita mbele ya jukwaa kuu walipita mbele yake wakisema; SHEMEJI MSHAHARA...
Hapa chuo kikuu X ni kua wauzaji wa mikate na mahindi wanasema wanauza sana Booooooom linapokata.Wanasema kipindi wanachuo wakiwa na Boom hizi bizaa ni adimu,kwa majirani zangu hapo Mz--be dogo...
MAONI YANGU KWA UTAWALA WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM JUU YA NAMNA YA KUONDOA AU KUPUNGUZA MIGOMO NA MAANDAMANO YANAYOONEKANA KUONGEZEKA KILA KUKICHA.
Tatizo la migomo na maandamano ndani ya...