kuna jamaa walikuwa wana argue kwamba hii nchi na matatizo yake yote imetokana na Chuo kikongwe cha udsm kuzalisha wahitim wasio na viwango , kwa mfano
1. Watendaji wengi wa nyazifa za juu...
kwa heshima na taadhima ningependa tuwe tunaulizana maswali na kupeana changamoto sisi vijana wa a-level ningependa kuaanza na ili swahili linatoka history one ktk topic ya level of development...
CWT, ilianzishwa kwa nia njema ya kutetea na kudai maslahi ya walimu, lakini sasa viongozi wamesha poteza dira wamegeuza CWT kuwa chama cha kuwanyonya walimu na kutumia jasho la walimu kujengea...
Habari zenu wandugu. Basi kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeamua kutaka kumwaga darasa humu jamvini kati ya lugha zifuatazo: KISOMALI, KIARABU, KIFARANSA na KITURUKI.
Hii naona itasaidia...
kwenu wanadau,
Nahitaji kuhudhuria trainings na seminers zinazohusiana na mambo ya mikopo na nyingine zinazohusiana na hizokwa yeyote mwenye ufahamu ni wapi nitapata mafunzo au ni nani hua...
habari zenu wadau, naomba mnisaidie kwa anaefahamu gharama za kusoma PGDE UDSM, ada zake kwa ujumla. nimeangalia kwenye web yao nimepata fomu tu. thanks.
anayejua kuhusu hii naomba anielezee kwamba inatolewa na vyou gani hapa tanzania, na je mtu ukiwa nayo ni sawa na mtu mwenye degree ya kawaida ama vp au ina advantage/disadvantage gani ukicompare...
Juma kama moja limepita tangu Mh Rais kupewa schoralship kwa wanafunzi wa Tanzania kwenda kusoma fani zinazohusu mafuta katika chuo cha Aberdeen Scotland .swali langu je ni nani mwenye tetesi ya...
Wakuu habari!
Naomba kufahamu mfI inayotoa service zote kama saving, loans, insurance agency, banks agency, investments, e.t.c inaitwaje in one name.
Asante sanaa
1. OverspendingIf you have a ferocious appetite for spending beyond your means, youre not alone. According to a survey, of the 52% of people who habitually overspend, many balance the shortfall...
Wakuu naomba tujadili kwa upana juu ya matatizo kwenye sekta ya elimu kwa ujumla yanasababishwa na nini? na nini kifanyike ili tuweze kuyatatua hayo matatizo ,karibuni
Wakuu nipo ndani sa ukumbi wa Bondeni ambapo kuna uchaguzi wa CHADEMA SAUT unaendelea sasa na mpaka sasa makamanda wanaendelea kunadi sera zao.wagombea wanaendelea kunadi sera zao ili wachaguliwe...
sisi wananchi wa igoma ambapo shule hii ya igoma sekondary inapatikana tunaomba afisa elimu wa secondary ajaribu kufuatilia mambo yanayofanywa na mkuu wa shule hiyo husika. mkuu huyu haelewani na...
Which is the best combination btn HGL and HKL,na hata kama mtu asipo chaguliwa A level,anaweza akakomaa na mishe gan tofaut na uwalim! Em nisaidien wadau.