Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naona tumetawala karibia ktk majukwaa yote.Ila walimu wapya wa ILALA,nawataarifu kuwa hapa huwa hatupewi vitambulisho vya kazi.Nilipoanza kaz nikawauliza walimu wakongwe,wakasema hata wao hawajui.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Msaada kwa anayejua wapi kuna chuo cha Muziki kama kupiga keyboard, gitaa, drums, na vyote vinavyohusu muziki. Vilevile napenda kujua ada ni kiasi gani, muda, na eneo chuo kilipo. Asanteni
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Daaah! Hatimaye nimemaliza michakato .Aisee!! kweli ualimu kazi! Vitambulisho telee yani hapa inabidi niongeze wallet ...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Hawa jamaa watatoa lini fomu za maombi kwa ordinary diploma!?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Njoo SONGEA VIJIJIN nije LINDI au MTWARA 0714005193 ukinikosa mcheck my brother 0714582524
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ndugu walimu wapya, ikiwa leo ndio siku ya kwanza ya kuripoti katika wilaya uliyopangiwa, tuambie ni changamoto au matatizo yapi umekumbana nayo wakati huu wa kuripoti? Karibuni ndugu walimu
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Heshima kwenu wana jamvi. Kama mnavyojua kuwa jumapili iliyopita serikali kupitia wizara ya TAMISEMI ilitangaza ajira kwa walimu.lakini kuna watu waliokosa ajira. Mwanzo wa wiki hii kuna watu...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
vipi wadau hakuna mwenye update kuhusu walimu ambao walihitimu mwaka jana na hawajapangiwa vituo vya kazi kwamba ni lini watapangiwa!?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tunaom ba mumkumbushe mkurugenzi na afisaelimu kuwa, walimu wa halmashauri ya manispaa ya Ilala hatuna vitambulisho vya kazi. Tokea tulipopewa vitambulisho vya muda, sasa ni miaka imepita bado...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nimefanya utafiti kwenye vyuo vya BINAFSI,,nikagundua kwamba wanagraduate na G.P.A kubwa sana yaani unakuta G.P.A kubwa zimejaa sana ! ! Hebu tujadili wakuu kwa nini hivi vyuo vya PRIVATE...
1 Reactions
258 Replies
34K Views
wanajf naomba mnijuze kuhusu hili, maana ninachofahamu ni kuwa yule anayesoma chemistry katika ngazi hiyo anawezafanya kazi viwandani, lakini huyu wa physics napata shida au ndio mpaka isomwe na...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Ninamatarajio ya Kufanya tena Mtihani wa Kidato cha 6 Mwakani 2015 Kwani nlifanya kama School Candidate mwaka 2011,Katika Comb Subject Nlikuwa na Matokeo haya (H-S K-S L-S) pamoja na GS-S. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
961 Views
Inakuaaaaaaaajeeeeee! Asee vyuo vingi hapa tz nimefanya tathmini nimegundua tatzo kubwa la collegeous wengi ku supp ni kufelishwa maksudi kwa sababu ya mkwanja mnene unaotolewa na wanachuo ili...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jamani naomba kufahamishwa tangazo la kutuma maombo nafasi za masomo wizara ya afya kwa waliomaliza kidato cha nne linatoka lini maana naona mda unazidi kuyoyoma!
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wakuu..! Ni mgeni katika jukwaaa hili but ni mwenyeji katka JF. Nipo mwaka wa 3 B.A mass com.. nakabiliwa na wakati mgumu kama niendelee au niahirishe huu mwaka wa masomo kwani hadi sasa...
0 Reactions
1 Replies
853 Views
Wanajukwaa nilipokuwa ninaambiwa halmashauri zetu hasa za mijini zimejaa viongozi wezi, wadokozi wasio na huruma nilibisha. walimu wengi wanalalamika ela zao za kujikimu kuchakachuliwa na maafisa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Je, ungepepnda kujifunza kuimba kama pro? Kama unamaswali kuhusu sauti yako na kuimba, na ungependa nikusaidie, nina CD na video maalum nimetengeneza (tembelea Joett's Music Blog) kwa ajili yako...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nijuavyo mimi mwajiriwa mpya unapoanza kazi unapewa subsistence allowance kulingana na marital status. Kama umeoa au kuolewa na una watoto unapewa ya kwako na ya mwenzi wako. Nasema hivi kutokana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hawa wadau wanafungua lini madirisha yao ya kupokelea bahasha kwa mwaka wa masomo 2014/2015? Kwa anayejua please tujuzane
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kiujumla katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wakimu wapya wengi wameripoti.Zoezi la kujaza fomu limefanyika bila matatizo ila DOLA YA KIMAREKANI eti hadi kesho tena kwa kuiandikia barua mbili...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…