Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kwa muda wote ambao serikali imekaa kimya na kubaki kukomalia kauli za kisiasa kuhusu ajira za walimu tofauti na miaka mingine sipati picha kama bado kutakuwa na kero katika halmashauri kwa walimu...
0 Reactions
1 Replies
975 Views
Bila kuwakatisha tamaa walimu wapya watakaoanza kazi mwezi ujao kwa kweli serikali inatakiwa ifanye juhudi za haraka sana sana kuokoa nchi yetu. I have tried to do a small analysis of the...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
samahanini kwa yoyote asomaye kati ya hivyo vyuo viwili hapo juu anibp hapa 0654568084
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huyu Mheshimiwa amenukuliwa na vyombo vya habari kuwa biashara ile kongwe kuliko biashara zingine ya Umalaya ihalalishwe ili kuongezea mapato halmashauri ya wilaya ya Kinondoni. Ni ukweli...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nahitaji kuendelea na masomo na Div 3 na Credit Ispokuwa Combless ,kwa sasa nimeajiriwa ni Mwalimu Ushauri wa JF
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Aaron Parfitt organised protest over concerns about standards of teaching He led 100 pupils at Bispham High School in Blackpool on a mass walkout Teachers were unhappy and banned him from...
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Karibuni wadau mliosoma ama ambao bado mnasoma Telecommunication Engineering, Lets us share ideas What are the main causes of FAST FADING and SLOW FADING, and when we are dealing with these two...
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Jamani hebu tukumbushane yale mambo mazuri yaliyokuwepo nyakati zile pamoja na changamoto tulizozikabilina nazo kama kufuata kuni pori,kubeba jembe ,na sahani,fyekeo,siku ya jtatu ,kukimbia...
0 Reactions
1 Replies
910 Views
Anayeitaji vitabu •Business Mathematics&Statistics-sixth edition by Andre Francis •Management&Cost Accounting-sixth edition by Colin Drury Bei ni tsh 20,000 na 30,000 respectively napatikana...
1 Reactions
2 Replies
890 Views
Hiv kwann tusome semester ya pili hatujasapuaaaaaaa
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa Wana JF waliosoma Tabora Boys na UDSM miaka ya 1980's na 1990's Nasikitika kuwajulisha kuwa Mwalimu wetu JOSEPH MWOMBEKI KABALIMU amefariki dunia huko Karagwe, siku ya jumapili 27/5/2012...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
kitivo cha elimu, upande wa sayansi supp kwenye chemistry35 physics 30 maths 57 ecotourism 54, llb,5
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Walimu mnaokwenda kujiendeleza katika vyuo vikuu na vyuo vingine mnapaswa kuomba ruhusa katika mamlaka husika. Bila kufanya hivyo, mtahesabiwa kama watoro kazini na hivyo kuiweka ajira yenu...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
kwa anayefahamu shule yeyote ya private moro mjini yenye advance,please mnisaidie
0 Reactions
0 Replies
626 Views
1. Kuripoti tarehe 01/04/2014 kwenye ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri kwa ajili ya kupangiwa vituo vya kazi na kuanza kazi. 2. Mwalimu atatakiwa kuwa na vyeti vyake halisi vyachuona Sekondari...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nauliza kua zile ndoa za huku vyuoni tamisemi imezijali au ndo zimevunjwa?tunaomba mrejesho mana mapenzi yalio hapa chuo kikuu utazani wanapangwa shule moja
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi, msaada jamani wa mawazo unahitajika, mdogo wangu amemaliza chuo mwaka jana (shahada) BAED, matokeo yake yalikuwa mazuri tu na joho amevaa, form zote zilizokuwa zikifika chuoni...
0 Reactions
3 Replies
799 Views
Sisi ni wafanyakazi wa idara ya ukaguzi,tunaomba wakaguzi wakuu wa kanda wabadilishwe mara moja ili kuongeza ufanisi katika idara hii,maana kuna wakaguzi wakuu wamekaa muda sana na wanajifanya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…