Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wajameni,kwa yeyote mwenye updates za HESLB kuhusu walio appeal.Nashukuru
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Hii ni kutokana na asilimia kubwa ya wahitimu wa sjut-dom(ualimu)majina yao kutokujitokeza kwenye orodha ya walimu wapya walioajiriwa 2013-2014.Tafadhali lijibuni hili.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya walimu wa stashahada na shahada ambao hawajayaona majina yao kwenye orodha iliyo tangazwa jana mnatakiw kusubiri awamu ya pili ya ajira ambayo itatoka mwezi may baada ya taarifa za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wenyeji wa sumbawanga vijijini naomba kujua shule gani za sekondari zipo katika mazingira magumu sana na zipi zipo mazingira mazuri.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF,hongereni sana kwa wale waalimu waliopata ajira mpya,Mungu awaongoze mnapoenda kulijenga taifa. Nilikua muajiriwa serikalini lakini niliondoka 2012 na kwenda taasisi flan,Mwaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HI Wadau nlikuwa naitaji kuchukua TOEFL(TEST OF ENGLISH AS FOREIGN LANGUAGE) niangalie mchakato wa kuongeza elimu nje kidogo,mwenye uelew tafadhali aniiuze
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ualimu kama kazi nyingine nikazi inayoitaji uvumilivu kujituma na uwezo wa kukabili maudhi pale yanapokukumba: Lakini ualimu unatia fola hususani ni kwa kua na changamoto nyingi mfano 1:Ugeni na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJIRA KWA WALIMU WAPYA MWAKA 2013/14 Jumla ya Walimu wapya 36,021...
0 Reactions
90 Replies
28K Views
Mimi ni mwanafunzi wa diploma kuna tetesi nimesikia kwamba ukimaliza diploma kuna uwezakano wa kusoma postgraduate bila kusoma bachelor degree kama umefaulu vizuri.Naombeni mnipe information vizuri
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Talented brothers Academy ni center inayotoa mafunzo kwa QT,Re-sitters,Pre-form five,paoja na form 6.Tunatangazakutakuwa na Solving,exams,na mafunzo kwa vidato vyote kwa somo la geography chini ya...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Darasa linalotumika kufundishia wanafunzi, likiwa halina dawati hata moja jambo linalosadikiwa kuwa wanafunzi wanakaa juu ya mawe KWA UFUPI Baadhi ya wanafunzi wanasema hali hiyo inatokana na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
  • Closed
Habari ya mda huu ndugu walimu. Tovuti ya TAMISEMI inafunguka mda huu lakini haina jipya. Kwa wale ambao mtaendelea kukesha mtatutaarifu nini kinaendelea.
0 Reactions
58 Replies
7K Views
Wadau naomba kujua mshahara wa mwalimu wa a level physics shule za seminary ,wiki iliyopita nimepigiwa simu na kiongozi mmoja wa shule ya seminary kaskazini niende tuongee ikiwezekana nianze kazi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wana JF,, Naomba kupata msaada wenu kuhusu vyuo vya serikali vinavyotoa diproma ya afya(Crinical Officer) hapa Tanzania.Kuhusu ufahulu wangu nilimaliza form six mwaka jana nina div (ii) ya...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Hi great thinkers, Kama kuna mtu mwenye PDF ya walimu wa stashahada na grade A, apost hapa tuwasaidie ndugu zetu hawa, Hv nice sunday
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
Habari ndugu wana jf. Toka enzi za baba wa taifa watu walikuwa wakiiamini serikali na kuona serikali ndio chanzo chao kikuu cha habari, lakini kutokana na sijui niite uzembe/ukosefu wa uadilifu...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Closed
IFIKE mahala siasa kama taaluma iwe na mipaka yake. Haiwezekani kuingiza siasa mpaka kwenye masuala nyeti ambayo ndiyo dira ya TAIFA! Hivi viongozi wetu ktk serikali mnawaza nini kuhusu ajira mpya...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
  • Closed
Walimu wenzangu tukae mkao wa kula mda si mrefu mambo yatakua poa, ila nashauri tupige kazi kozi tuna dhima kubwa sana kwa Allah{sw} muumba.hii ni kutokana kuwa ualimu ulianzia kwa mitume wetu...
0 Reactions
276 Replies
34K Views
Leo saa tatu usiku,toeni michango yenu
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Enyi ndugu zangu walimu kama ambavyo ipo info' hiyo kwamba kesho tarehe 15 ndo ajira zawalimu zitatangazwa so wasiwas wangu ikipita siku ya kesho pasipo kutangazwa itakuwaje ? kwani vichwa vingi...
0 Reactions
81 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…