Hivi jamani wadau nchi yetu ina vyuo vikuu vingapi????maana huku mtaani kuna vyuo ambavyo sijui kama serikali inajua kama ni vyuo vyake..........tuseme ni maendeleo katika elimu au vipi?maoni yenu...
Wakuu zifuatazo ni kozi za muhimu duniani hii ni kutokana na umuhimu wake ambazo ni 1.MEDICINE 2.ENGINEERING 3.LAW 4.NURSING 5.ECONOMICS 6.ACCOUNTS 7.VETERNARY MEDICINE 8.ARCHITECTURE
ndugu zangu nliokosa mkopo kutoka serikalin poleni kwa yanayowasibu maana natambua sio wote weny uwezo wa kujilipia ada, malazi na matumizi mengne...
ushauri- msikate tamaa jitahidin ku appeal na...
Ninataka Kuchukua Hii Certificate Kupitia ISAKA, Kama Kuna Mtu Yeyote Ambaye Amewahi Kufanya Mtihani Wa Aina Hii, Naomba Anijuze Mengi Kuhusu Hii Kitu Hasa Ugumu Wake Na Challenges Zake
Hatua hiyo imekuja baada ya miaka ya hivi karibuni kuwa na malalamiko mbali mbali ya wadau wakiwamo wanafunzi wa vyuo vya private na hata vya serikali kuhusu uongezaji wa ada kiholera bila...
umoja wetu wakati wa shida na raha,hatimae umezaa matunda,kesho bumu kama kawa kwa wote..hii ni baada ya daruso kuukomalia uongozi kulingana na mashart yao ya mwanzo..sasa shule itasomeka kwa...
Jamani wadau naombeni jibu, watoto wa shule zetu siku hizi hawataki kusoma badala yake wanajishughulisha na mambo ya kihuni kama kuvuta bangi na kufanya mapenzi, na mambo mengine mabaya na kipuuzi...
hayawi yamekuwa hatimaye mchakato wa urais ktk chuo kikuu cha kumbukumbu ya sebastian kolowa umekaribia tayari wagombea wafuatao wamechukua form, nao ni:
1.tumaini mapunda,(hana lolote jipya...
Ni chuo pekee ambachokinatoa mambo mnayoyashuhudia bungeni hasa katika hili bunge la katiba, takribani wahitimu 70 wameajiriwa kwenda kutafsiri lugha ya alama udsm mpo? Anzeni majigambo yenu hili...
Wana JF naomba kufahamishwa! Nimekuwa nawaza sasa ivi magarikaribu yote sokoni ni AT, sasa kwanini driving schools zinafundishia MT? na huku mtu ukifuzu unaendesha AT?
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT...
Wadau naomba tushirikiane kutoa adress za vyuo wanavyoweza kuapply form four kulingana na perfomance zao plz take it serious na ikiwezekana andika na course offered na pia dadavua kama wanatoa kwa...
Habari zenu wadau? Mimi ni mwalimu mwajiriwa wa serikali idara ya elimu sekondari walaya ya Ukerewe mkoani Mwanza.Nahitaji kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu kutoka mkoa wa Morogor na...
Tanzania ufisadi hautaisha kwa sababu kila mtendaji serikalini anajiangalia yeye na familia yake. Huwezi kuamini lakini ni ukweli uliodhahili kuwa walimu walioajiriwa tangu 2011 katika halmashauri...