Mamalaka ya Mapato Tanzania (TRA)
Mamalaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mbeya, imesema shule za binafsi, vyuo vikuu vya binafsi na taasisi yoyote isiyokuwa ya kiserikali zinapaswa kulipa...
Wakuu tunawaomba mtujuze, kwa sisi Walimu wapya watarajiwa ni vitu gani muhimu ambavyo vitatakiwa tuwe navyo mara tutakaporipoti kwa Wakurugenzi wa Halmashauri tutakazopangiwa na pia katika shule...
Jana nilimpa taarifa moja wa walimu watarajiwa kuwa ajiandae wataenda kuripot kazini tarehe moja April, responce yake "MUNGU WANGU, NTAWEZA KUFUNDISHA KWELI MIMI? HAPA SINA A WALA B"
Sasa wewe...
Wadau, chuo kikuu cha sayansi na teknolojia Mbeya kimeanzisha kozi mpya katika ngazi ya DIPLOMA katika mwaka wa masomo wa 2014/2015. Kozi hizo ni :- 1.Food science and Technology...
Wakuu habari za majukumu, ambaye anafahamu namna ya kupata scholarship za Russia kupitia hii kitu inayoitwa RACUS anipe details hasa kwa scholarship za Masters of MEDICINE/ DENTISTRY.
Na guarantee...
Nina apply kwenda form v July hii. Moja ya nyaraka inayohitajika na shule niliyoapply ni results slip. Sina mawasiliano ya haraka na shule niliyosoma o level ili kujua kama results slip zimewasili...
samahani kuna mdogo angu anataka kusoma HIV counseling and guidance kwa yeyote mwenye uelewa na hii kitu soko lake la ajira na mengineyo tafadhali msaada.
nisieleweke vibaya na wala sibezi watu waliochukua masomo ya arts ila inapaswa kutoa msukumo mkubwa kwa masomo ya sayansi kama tunataka kuendelea kwenye fani ya sayansi.
MWISHO WA HOJA YANGU...
UDSM hadi sasa kwenye akaunti zetu hatujawekewa hela za kujikimu , japo tayari wengine tulishasaini toka tarehe 5 March, 2014; na Ratiba ya Masomo kwa muhula wa pili imeanza tarehe 8 March...
Mpaka jana jioni,hakukua na muafaka kati ya uongozi wa chuo na wawakilish wa DARUSO kuhusu suala la kusign mkopo...
Uongozi umeendelea kusisitiza kwamba,lazima kila mtu awe na valid ID na wakati...
Mimi ni mwalimu idara ya msingi nipo halmashauri ya sengerema mwanza kwa anayetaka kuja mi niende mbulu tuwasiliane kwa phone 0684 223372 Au 0765 200735 nawasilisha.