Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa wadau wa JF.
Nina mdogo wangu wa kike anafanya kazi Dar (Nurse) serikalini na mme wake anafanya kazi Morogoro. Ana mpango wa kuhamia kwa Morogoro ili aweze...
SUA tutaendelea kupeta kama real madrid ndani ya santiaGo bernabeu........ tumekamilikA kilA idaRaaa hasaHasaaa in term of excellence........... u canT compare suA with Udzm or any other vyuo vya...
Nmezoe kuona vyuo vinavyotoa mafunzo ya udereva wa magari ili cjaona mafunzo ya uendeshaji pikipiki ila leo nmeona chuo kinachotoa mafunzo ya uendeshaji baiskeli na wanafunzi wamejaa si kawaida.!
wadau naombeni anaefahamu chuo chochote kinachotoa mafunzo ya ufamasia au course za uuzaji wa maduka ya dawa
kwa dar au arusha anijulishe. asanteni sana
Kwa anaejua naomba kusaidiwa halafu kwa matokeo haya naweza kwenda goverment A level
History C
Geograp C
Kiswahil C
English C
Civics B
biology D
math E
jaman naon HKL. HGK na HGL...
Habari za asubuhi wadau. Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne 2013, matokeo yake amepata div IV ya 33, ana C ya Biology, D ya Physcics na E ya Chemistry na D ya Maths. Sasa naomba msaada kama...
kabla sijajiunga na chuo kikuu nilikua nasikia kuhusu kina dada baadhi kutoa penzi na kupewa mtiani yaani kuoneshwa kabla ya mtiani.Nilipofanikiwa kujiunga na chuo nilishangaa kweli,kipindi cha...
Top Universities in Tanzania 2013
List of top universities in Tanzania, United Republic
of:
1.University of Dar Es Salaam
- It is the oldest and biggest public university in
Tanzania.
- It is...
Binti yangu amehitimu kidato cha nne 2013 na amepata daraja 1 points 15. Yeye anapenda kusoma Civil Engineering, anataka kuanza na chuo kwa hatua za mwanzo ,halafu ndio aende elimu ya juu kupata...
maana watu wengne badala ya kutoa mada nzuri wao wanasifia vyuuhusu vyuoo vya watu na wala c vya wazazi wao, ikumbukwe atanzania wye wanapomalza shule huishia ktafta kazi hvyo hakuna haja ya...
Habari wana JF.
Ndio. Uingereza ni mji wa Marekani.
Jinsi nilivyoanza unaweza kusema kwanini hili sikupeleka jukwaa la Utani. La bali ni masikitiko yangu tu hasa katika swala la Elimu hapa kwetu...
Ndg wana Jf kumekuwa na taarifa mkanganyiko mtaani (taarifa zisizo rasmi) kuwa vyuo vingi nchi hii vinatoa degree ambazo ziko chini ya viwango, hii inasababisha watu kutoleana maneno ya...
Kuna kipindi serikali yetu sikivu walitangaza kuwa elimu ya sekondari olevel itaunganishwa na primary na kuwa miaka 9 then mtu anaenda direct advance. Mpango huo ulifia wapi?
Ni chuo gani ambacho kinatoa kozi unique ambazo vyuo vingne visingethubutu kutoa Tanzania.? Kozi ambazo Africa mashariki n kati zinaptkn vyuo viwili two .... Kozi ambzo certificate zake hazipo...
walimu hususan vyuoni wanapowaambia wanafunzi hususan freshers kuwa 'hili darasa mpo wengi mno inabidi mpungue ili kuwepo na hewa' na kuna wanaosemaga 'hii course hakuna anayeweza kupata A'
je...
nimeanzisha elimu kwa njia ya mtandao (online learning) kwa somo la geography hivyo nawakaribisha wote watakao vutiwa na darasa hili. nitatoa jina la mtandao huo muda sio mrefu kwani bado...
Kwa bahati jana niliona post yenye link za materials kwa njia ya video, Ila leo nimetulia ilinizifuatilie sizioni tena. Tafadhali aliyeweka au anayejua zilipo anijulishe pls!