UONGOZI WA VYUO VIKUU NA VYUO VYA UALIMU TANZANIA, VIKISHILIKIANA NA WAHITIMU WOTE WA NGAZI YA CHETI, STASHAHADA, NA SHAHADA PAMOJA NA WAZIRI KIVULI WA ELIMU:
Wanatangaza maandamano makubwa nchi...
mwenye kujua shule zenye kufundisha vizuri katika jiji la Mwanza kwa O level na A level sababu mi si mwenyeji wa mwanza so anayejua naomba aniambie kwa kunitajia shule izo za secondary.
Haya wakuu, nauliza matokeo ya NECTA ya watoto wetu wa kidato cha pili mwaka 2013, yanatoka lini? Naomba anayefahamu atupe majibu hapa, maana ninasubiri kwa hamu sana.
Habari zenu wenzangu; na kuwashirikisha watanzania wenzangu, wanaoujua kiingereza cha kuandika, na wanajua kutumia Computer,Tablet au hata smart phone,na wana access ya internet, ikiwa...
Nauliza Kwa Kuwa Mh Shule Zenyewe Hazina Walimu Wa Kutosha, Madawati Hayatoshi, Hakuna Maabara Wala Maktaba, Walimu Wanalipwa Ujira Mdogo Na Hakuna Nyumba Za Walimu. Mi Kwanza Nafikiri Mafisadi Wa...
Mwaka 1967elimu ya kujitegemea ilianza,na tujadili hadi elimu ya miaka hadi 2005,je ipi ni elimu bora na iletayo maendeleo ukilinganisha na elimu ya leo
mtakumbuka kuwa mheshimiwa naibu waziri wa fedha mwaka jana aliisifia serikali kupita kiasi kuwa inachapa kazi kwa kile kilichoitwa kustandardize matokeo. Leo hii ona matokeo ya wanafunzi...
Wadau hivi credit za advance sahizi zimekaa vp? je ni D, C, B or B+ msaada jamani watu wanataka wasome tuisheni but big result bado haieleweki kwa wengi
Habari zenu wadau
Ukiachilia mbali kasoro mbalimbali za matokeo ya kidato cha nne,ambazo binafsi sizishangai sana maana elimu ya sasa nchini kwetu imekuwa ni siasa.
Binafsi swala kubwa...
Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza kwa kufanya vizuri katika matokeo yenu yaliyotangazwa jana.hongereni sana.
Pili napenda kutoa ushauri wangu wa hiari kwenu juu ya mambo...
Wadau wa JF nachelea kusema kusema kuwa NECTA wameturudisha kulekule mwaka 2012.Namaanisha kuwa kuna watoto wamepata point zinalofanana lakini wanatofautiana daraja yaani DIVISION Mfano katika...
Habari wana jamvi.
Naomba kwanza nieleweke kuwa naandika haya kwa nia njema.
Ukifuatilia shule nyingi chini ya mwamvuli wa dini ya kiislam hazifanyi vizuri. Naomba tujadili ni ni kikwazo ili...
Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania, Dk. Charles Msonde, akitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT), Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Naibu Katibu...