Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kwa mujibu wa ripoti ya Webometrics ni kuwa chuo kikuu cha Dar es Salaam kimeporomoka katika Rank zake zilizotolewa hivi karibuni. katika rank hizo chuo cha Udom kimeingia kwa mara ya kwanza na...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
examination centre ranking examination centre region arusha total passed candidates 52 examination...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Hivi wana janvi kwanini chuo kikuu cha Dodoma huwa wahadhiri wake hawatoi maoni kuhusu mambo mbali mbali yanayotokea kwenye jamii?. Kuna maprofesa wengi, madokta wengi na hata wenye masters wengi...
2 Reactions
114 Replies
12K Views
Wametangaza kuwa ufaulu umeongezeka kutoka 43% ya mwaka jana hadi 88%. Lakini hili ni changa la macho, hali ni ile ile. Ngojeni nikuonesheni walichofanya. Wamechomeka grades nyingine katikati...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
kwa aliyesoma heri shule ya pwan naomba 2juane hapa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tanzania's University of Dodoma (UDOM) will soon start making software which is to be used for Microsoft platforms such as Windows as well as Nokia mobile phones, an official said on Sunday...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari siku hii mpya walungwana, mwenzenu nimepata kigugumizi ktk matokeo ya shukumulu system, Kuna dogo kaandikiwa division IV ya 38 sasa daa sijaelewa kabisaaa, nilipotaka nichek kwingine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mdogo wangu kapata division 3 ya points 29 kwa maelezo yake,mi nikamwambia hyo ni div 4,ananibishia,hii imekaaje?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
kuna uwezekano wa wanafunzi waliopata daraja la 3 kuingia kidato cha 5 au itakuaje ,
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kuna mdogo wng amepata hivyo yaani ana B+ ya Kiswahili, C ya English na C ya History. vipi anaweza kuchaguliwa government school. msaada jaman
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna ndugu yangu kaniomba ushauri amepata nafasi ya URATIBU ELIMU KATA, kwa sasa ni mwalimu wa sekondari anauliza je kazi iyo inalipa, na vp kuhusu mshahara wake, nikaona nililete kwa wadau kabla...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hivi haya matokeo si ni ubabaishaji.eti division 3 ya 31.wakati mwaka wangu ilikuwa 4 tena home dingi anakuzingua na wanafamilia wanakunyanyasa kwa mda.leo limtu lina 3 ya 30 linalinga sana.sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waungwana huyu jamaa vp,mbona cmuelewi yaan madogo wamemaliza juzi tu wakati tunawaona leo matokeo yao yanatoka.tuspochukua hatua unaweza ckia mpaka post zao zinatoka ss bado tunaendelea kusota...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba mnieleweshe jinsi mchanga nuo wa haya matokeo ukoje maana,,,,,,mfano A-1,B-2 na kuendelea hapa naulizwa sina jibu!!!
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Wana Bodi, Naomba mnisaidie pengine kunielewesha kwa wale wenye taarifa sahihi kama ule utaratibu wa madaraja wa wa mpaka DIVISION V ndiyo umetumika kwama matokeo ya kidato cha nne 2013/2014 ila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanangu alimalizia shule ya sekondali ngw'anza lakini , matokeo yake hayaonekani tafadhari mwenye namba yake ya mtihani ni 14, ameandikiwa hivi *E ... basi please mwenye kujua naomba...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna wanafunz wamechora picha za freemason na kuandika matusi kwenye mtihan wao wa kidato cha nne hivi awa wana hakili timamu kweli?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Japo kwa chini chini lakini wote twajua kuwa wanafunzi wa kidato cha nne wanaosubiri matokeo mioyo na roho zao zipo juu pindi wasikiapo neno 'matokeo'hata kama ni ya mpira, roho huruka.Binafsi...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
FREE ONLINE COURSES AND 2014 SCHOLARSHIPS ZINAPATIKANA HAPA LINK
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Kwa mujibu wa taarifa zilizotufikia kutoka kwa wakuu wa shule waliokuwa na kikao na Naibu waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi hapo juzi Mkoani Iringa, mhe. Jennista Muhagama naibu wa...
2 Reactions
240 Replies
50K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…