Baada kukaa chuoni kwa wiki na nusu hivi,sasa nimeshamaliza kazi yangu ya kuchunguza ukuaji wa kitaaluma,na changamoto zake.Nilichokiona hapa ni majengo mazuri yaliyobeba wengi wasiojituma lkn...
Katika hali isiyo ya kawaida na iliyowashangaza watu wengi wakazi wa wilaya mpya ya Itilima mkoani Simiyu Afisaelimu huyo amewapa uhamisho wakuu wa shule zaidi ya 10 na kuwavua madaraka wengine...
Kuna kijana mmoja ana diploma ya account,amepata upper second.anapenda sana kusomea sheria..Je anaweza kwenda kuchukua degree ya sheria pale ud au mzumbe kwa dip.yake ya akaunts..?
Jaman ndugu zangu tunaelekea wapi?Elimu yetu inakoelekea sielewi maana nimeshangaa kutembelea shule moja ya msingi,drs la tatu had la saba kuna robo tatu kila darasa ambao hawajui kusoma wala...
Poleni na majukumu ya kuelimishana. Mimi ni mgeni humu JF,nimepata msukumo kutokana na watu mbali mbali nilioona wanavyopata msaada humu JF
Mimi ni mfanyakazi wa Taasisi moja iliyo chini ya...
MFUMO WA KUTAHINI WA NBAA UTAZAMWE UPYA
Naishangaa sana NBAA. Wakati nchi nyingine za muungano wa jumuia ya Afrika Mashariki zikifanya kila juhudi kuhakikisha wananchi wake hawaachwi nyuma...
wakuu habari zenu. mimi ni mhitimu wa shahada ya Elimu mwaka 2013 nimespcialize hesabu. kama kuna shule binafsi wanahitaji Mwl mweye sifa kama zangu tuwasiliane inbox. nipo tiyari kuweka mkataba...
Wana JF, Naomba msaada kwa anaejua vyuo vikuu vya hapa nchini ambavyo vinatoa Degree kwa kushirikiana na vyuo vya nje ya nchi, ikiwezekana aniambie ni course gani wanazotoa. Asante.
Wadau wakati vyuo vingine wakiwa wameanza likizo hapa kwa mrumi semista ya pili inaanza rasmi kesho, nichukue fursa hii kuwatakia jamaa zangu masomo mema, wapende shule tuu maana ndio iliyowaleta...
Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere inaonekana kinaongozwa kiaina na Mkuu wa Chuo aliyestaafu. Mkuu huyo mstaafu ni DR. J. Magotti. Alistaafu rasmi tarehe 05/01/2014 lakini hadi sasa anatumia...