kwanza lazima tumshukuru Mungu kwa kupata elimu hii tulioipata!! umepata degree,diploma au chet yote ni Mungu Amekusaidia! Kumbuka Wale Wenzako Ambao Wameishia Darasa La 7 Na Leo Hii Wana Familia...
Habari zenu wana jf
ningependa kujua mtu mwenye degree tajwa hapo juu
anaweza somea masters tofauti na education? Ni masters zipI hizo anaweza soma?
au
anatakiwa asome masters zinazohusiana na...
Inashangaza kwa Mhadhiri wa chuo kikuu ambaye kila siku anakuja darasan na kuanza kufundisha haraka haraka tena kwa kasi za ajabu......yaaani anasoma kwenye kitabu(densa) kisha baada ya hapo ni...
Habari ya leo wadau,
napenda kutumia fursa hii kuwashauri waalimu wa masomo tajwa hapo juu, kwa mjibu wa mnyetishaji wangu kutoka wizara ya elimu ni kwamba safarii hii hawataajiri walimu wa...
wadau nliuliza umuhmu wa cheti cha std 7 ila wengi WAMENSHAMBULIA KWA MATUSI NA KUSEMA ETI KINASAIDIA KUTAMBUA UTAIFA WAKO NA KUA KWELI UMEZALIWA TZ......wengi japo sio wote wamejibu hvyo yani huu...
heshimu kwenu wanataaluma,
tafadhali mwenye kujua format ya research pepa anisaidie...
sijui pa kuanzia wala kuishia.
amani iwe kwenu!
ahsanteni kunielewa.
Kuna bwana mdogo wangu ana diploma ya accounts anahitaji kujiendeleza. Naomba kujua chuo kiko wapi[INSTITUTE OF TAX MANAGEMENT] hapa dar, na kinamchukua mtu wa sifa gani.
Dogo anasema kapitia...
kuna taarifa kwamba chuo cha ualim Kleruu Iringa kimekatiwa umeme kwa majuma mawili, wanafunzi wamegoma na wale jamaa "wapigwe tu" wamefanya kazi yao, mlioko Iringa au mwenye taarifa kamili...
na fit katika secta nyingi sana especially educational sector... nipo bored sana home so kama unaofisi au kampuni ndani ya mbalizi au mbeya jiji unaweza ukani PM.
Wana JF naomba kufahamu idadi ya vipindi kwa wiki ambavyo mwalimu wa secondary o'level anapaswa kufundisha kisheria, maana hawa ma-headmaster wanataka kuwapelekesha sana walimu.
Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo wilaya ya Kasulu mkoa wa Kigoma, kwa mwalimu aliyeko Morogoro,Dodoma,Mwanza,Kibaha ,Tanga,Kilimanjaro na Dar es salaamu tuwasiliane kupitia#0714963829 au...
1.serikali haitaajiri tena walimu,badala yake itabidi wajitafutie wenyewe private. 2.wale wachache hasa wa sayansi watatakiwa kuandika barua wizarani ili waweze kuajiriwa serikalini. 3.walimu...
Habari wadau,
Jamani kuna yeyote mwenye taarifa rasmi juu ya lini serikali itatangaza post za kazi za walimu kwa mwaka huu?,maana kumekuwa na taarifa nyingi juu ya tarehe hiyo.Watu wamechoka sana...