Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Ndugu zangu Watanzania habari za mida hii, naomba nikusumbueni kwa anayefahamu ada ya mtihani kidato cha nne mwaka huu anijuze tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nataka nichukue mtungi wa gas, bt nimestack aina gani ya gas nichukue kati ya oryx na mihan gas. Mwenye experience za matumizi tafadhali nisaidie kiushauri. Shukrani sana
0 Reactions
4 Replies
6K Views
BG Scholarships - British Council in Tanzania Ziko nafasi kumi, changamkia waweza kuwa wewe, deadline si kitambo toka sasa Nb: sina ruhusa kupost jukwaa la elimu ndio mana nimepost huku
2 Reactions
3 Replies
1K Views
mwalimu wa shule ya msingi yuko kibondo anatafuta kubadilishana na mwalimu yeyote kutoka Kahama au Morogoro.aliye tayari ampigie namba 0765541957
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani wana JF kwa anaye fahamu kuhusu hili anieleweshe:Hivi kuna madhala yapi kama umepata usaijili wa kusoma Post Graduate kwa chuo ambacho kilizuiliwa kutoa Masters na TCU kwa sababu ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
salam zenu toka kwa wanasiasa
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Hv kwa m2 aliyesoma dip in electronics and telecom eng. Anaweza kusoma telecommunication eng kwenye chuo kama udsm na kwa mda gan?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
.HRTG
0 Reactions
0 Replies
948 Views
MSc Forensic Computing V/S MSc Information Security and Management. Najiandaa kufanya moja ya kozi hapo juu, kwasababu zinaendana na mahitaji yangu zote mbili. Napenda kujua ipi ni bora zaidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Best wishes in ue.
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Habar zenu wadau,naomba kujuzwa mda wa kuapply chuo jwa wale ambao tulivusha mwaka wa masomo.naomba post hii itumike kupashana habar hzo
0 Reactions
0 Replies
809 Views
ARE YOU WANT TO STUDY ABROAD ESPECIAL IN DUBAI WHERE BEST UNIVERSITY ARE SETTLED HERE IN DUBAI. CONTACT US FOR MAY INTAKE HERE IN DUBAI FROM BEST UNIVERSITY WHICH HAVE BRANCH IN DUBAI...
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Wiki iliyopita niliandika uzi hapa kuhusu tabaia ya walimu kuwarudisha nyumbani wanafunzi eti kwa sababu hawajamaliza kulipa michango ya shule. watu wengi hawakuunga mkono hoja yangu, wakitumia...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Elimu ya sasa inaonekana haina thamani ukilinganisha na zamani kwa jinsi zamani msomi alikuwa akiheshimiwa. "shule ya msingi niliyosoma nakumbuka tulimaliza kama 80 lakini tuliofaulu kwenda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
JF members Am interested in paper writing and presentations. ..any one with a link to call for papers in civil engineering within East African Countries kindly drop it below. With...
0 Reactions
1 Replies
891 Views
May i take this opporunity to wish Udom students best university Exams that is expected to start on Monday 03/02/2014. Study harder and harder.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Natafuta ajira ya ualimu kwa masomo tajwa kwenye shule binafsi(Diploma-2010),kwa mawasiliano ellymmbaga@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani sio siri tatzo la chakula mashuleni limekua tishio kubwa sana hasa mikoa ya nyanda za juu kusini (iringa, mbeya na sumbawanga) wanafunz wa a' level wanasumbuka sana..... Serikali mpo...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Poleni ndugu zangu,napenda kuchukua fulsa hii kuwaomba walimu wenzangu wanaotarajia kuajiliwa mwakani ambao wapo tempo katika shule binafsi waniiunganishe na waajili wao ili nami nipate chochote...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
ni wazi kuwa mh. majaliwa alidanganya, rais naye kimya na huenda mh. rais anajua walimu washaajiliwa kwasababu hii nchi mawasiliano baina ya viongozi ni majanga. ila tutambue kama mwaka juzi post...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…