salaam wanajamiiforum. Kwa mtanzania yoyote anayemtafutia mtoto wake au ndugu yake au rafiki yake shule ya kuhamia au kuanza kidato cha kwanza kwa mwaka 2014.wasiliana na muhusika kwa namba hii...
Wakuu Salama ! ! Naomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata nafasi ya kusoma mwanangu Day School maeneo MJINI, UPANGA, KARIAKOO, au hata jirani mradi kuwepo na usafiri...
Wanajamvi m2 wa 7 pamoja na waalimu wawili wananiambia leo kunalolote laweza kutokea, (kutangazwa kwa ajira mpya) kunaukwel wowote kuhusina na hilo? mwenye taarifa bac
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza naomba kufahamishwa vyuo vinavyotoa elimu kwa njia ya masafa (distancelearning/onlinelearning) kwa hapa tanzania course yoyote.
NATANGULIZA SHUKRANI
Tangazo ambalo nimekumbana nalo leo ofisini ni kua kutokana na uhaba sugu wa walimu wa sayansi basi imekuja na mpango wa miezi mitatu wa kutrain watu waliosoma masomo yote ya sayansi na hesabu na...
Wadau kunataarifa nimeidaka kuwa aliyewahi kuwa mkuu Wa chuo na makamu Wake wamekamatwa tokea asubuhi wapi lupango.
Habari zaidi zinasema ni kutokana na ubadhirfu walioufanya kipindi cha uongozi...
Jaman walim na wanaojua sis wanafunz wa kdato cha nne 2013 tunarushwa roho kuwa yatatoka mwnz wa 2 wengne wanasma mwnz wa tano tufumbuen basi msaada plz
Habari zenu wapendwa wana JF
Mwenzenu natatanika kuhusu usomi, Usomi ni nini???
Bosi wangu ana degree tatu(5) na Masters tano (5) sasa sijui ndo nimuite msomi au nimuiteje maana ni bora angekuwa...
leo siku ya tatu toka wanafunzi wa chuo cha mtakatifu joseph kilichoko mkoani ruvuma mkuu wa wilaya ajikanyaga kutoa tamko la serikar asema kwa kuwa wamefunga chuo na sisi tunakubali ashindwa...
Wale wadau wote wa arusha tech. College where skills make the difference kesho wapendwa wenzetu wanakwenda kugraduate. All the bect our beloved csters and brother.
1.UDSM
2.IFM
3.TIA
4.IAA
5.MZUMBE
Ila msisahau Udom nayo inakuja kwa kasi sana,kwa baadhi ya wahitimu wake kuanza kufanya vizuri katika mitihani ya nbaa.
Mimi ni miongoni mwa wahitimu wa chuo kikuu cha Dodoma. Hicho chuo kinaongozwa kama kijiwe cha pombe kila mlevi anafanya analoliona linamfaa. Uwajibikaji ni zero. Kuanzia ngazi ya juu hadi kwa...
Wanafunzi wa chuo cha st.Joseph college songea wamegoma kwa kudai kurudishwa kwa viongozi wa wanafunzi waliosimamishwa masomo,pia wanadai wahindi wanawanyanyasa.
Mgomo hadi jioni hii haujapata...