Serikali imesikia kilio cha wanachuo wa ngazi ya Cheti(astashahada) a.k.a Grade A kwa kuwaruhusu kufanya mitihani ya marudio kwa masomo ambayo watafeli. Kabla ya halo ilikuwa mwanachuo akifeli...
Mi ni mwalimu mwenye degree kwa sasa nafanya M.A. EDUCATION EVENING PROGRAMME - udsm, nafundisha geography na civics, nina uzoefu wa miaka 6 kazini. Napatikana DSM. Contact: 0685-955811/0714-408238.
TANGAZO LA NAFASI ZA
MAFUNZO MAALUMU YA
UALIMU TARAJALI NGAZI
YA STASHAHADA -
SAYANSI NA HISABATI
|
Print |
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO
MAALUMU YA UALIMU TARAJALI
NGAZI YA STASHAHADA KWA...
wadau wa jukwaa hili habari za saa hizi
Naombeni mniambie shule nzuri ya boarding kwa mikoani
urgent please ambayo ina mazingira mazuri ya kusomea
natanguliza na shukrani zangu
Kama UMEWAHI KUWA MWANAFUNZI WA HIZO SHULE ULIYEMALIZA MWAKA 2006 CHINI YA HEAD MASTER BALONGO, NAOMBA UNI PM , AU UNITAFUTE KWA NAMBA 0715510630 , NI MUHIMU SANA!
Naomba kwako mwenye uwezo wa kufanya hesabu hizi, unisaidie hapahapa. 1.Ikiwa set A={XER;6>X, au9<X} B={XER;-4>X au3<X} C={XER;-4<X<6} tafuta; a)AuB b)BnC c)AnB' 2.Ikiwa n(AnB)=5...
jamani elimu haina mwisho, anayejua chuo kizur kwa kozi ya quantity survery anifahamishe ikiwa ni pamoja na vigezo, ada, mda kufanya usahili,changamoto, nk.
naomba ushirikiano wenu wasomi
Wanajf, katika hali ya kushangaza leo hii gari ya matangazo ya manispaa limepita likitangaza kuwa shule zote za manispaa hazitafunguliwa tar. Iliyotakiwa zifunguliwe yaani j.tatu ispokuwa shule za...
Wakuu nimesikia kuwa cbe campus ya mwanza huwa na intake mbili kwa wanafunz kuanza masomo yaani mwezi wa 3 na wa 10. Kwa wale wa mwezi wa 3 huwa wanatoa application fomu mwez wa kwanza, nimejaribu...
Kwa nyakati tofauti DUCE imetajwa katika masakata mbalimbali ya wanasiasa wanaopitia hapo. Tukianzia na Ludovick Joseph Yule wa movie ya Lwakatare alipitia pale.Siasa zake na ushiriki wake CDM...
Ni mdogo wangu, yupo kwenye mitihani, jana nikamkuta na rundo la madaftari na vitabu, analalamika anasoma hayaishi na mtihani ni leo, anasema anasoma akifika mwisho ya mwanzo ameshasahau, basi kwa...
Heshima kwenu wadau,
mimi ni mwanachuo wa chuo furani cha ualimu hapa tz.
katika maisha yangu ndoto yangu nirikua natamani sana niwe mtaalamu wa kilimo na mifugo. lakini kutokana na sababu za...
Hi brn ni mpango wa nan jamani? Nafikiria na nashindwa pata jibu maana serikali ilitangaza matokeo dar 7 kwa mbwembwe na kusifia ufaulu mzuri sana.kinachonipa shida ni muda wa hao wanafunzi...
Hi, nimeulizwa hili swali / kitendawili ila nimekosa naombeni jibu please.
Mimi ni wa kwanza dunuani na wapili mbinguni, huwa natokea na kuonekana mara mbili kwa wiki lakini waweza kuniona...
Kwa wale wadau waliosoma mkwawa high school(complex) kwenye miaka 2001-2004 wanakumbuka vichwa hivi tuambiane viko wapi na vinafanya nini sasa?
(1) mr.mbao-huyu alikua headmaster enzi hizo...
Wanafunz wa chuo cha St.Joseph~ Songea,waendelea kuwa ktk hali mbaya kiuchumi.Hii ni mara baada ya kuambiwa kuwa chuo hicho bado hakija pokea fedha za kujikim wanafunzi kwa awamu ya pili.lakini...
Ndugu wadau, chuo cha biashara(cbe) tawi la mwanza kuanza kutoa degree mwaka huu kuanzia mwez wa tatu kwani kwa kawaida chuo hiki huwa na intake mbili yaan wanaoingia mwez wa tatu na wanaoingia...