Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Katika kile kinachoonekana kama jitihada za Serikali kuhakikisha ufaulu wa kidato cha nne unapanda, wasahihishaji wa mitihani hiyo mwaka huu wamepewa maagizo maalum. Maagizo hayo ni kusahihisha...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wana jf mda wa kuanza ku2ma maombi vyuo vya uuguzi umefika tujuzane vyuo vp ni vzri kwa ngasi ya cheti?nawasilishâ
0 Reactions
43 Replies
32K Views
Habari zilizopo katika chuo hiki baada ya kutoka kwenye pirika za Noel na new year ni lecturer wa sociology mr.Edmound kudai ameibiwa laptop hivyo turidie test.Sasa cha kijiuliza ni je na scripts...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
ITAFIKA STAGE MITIHANI ITAKUWA HIVI....!!! WATOTO WA KISHUA SECONDARY SCHOOL S.L.P 7677, MASAKI. MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA. MAELEKEZO. i. Jibu maswali yote. ii. Kila swali...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Wazazi wa Tanzania wenzangu. Acheni upumbavu. Tuwapeleke watoto wetu shule za serikali. Ada zinazingatia uhalisia wa maisha. Huu usanii wa maisha mpaka lini? Mshahara laki sita ada milion...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wa na jf hili life chip la Wahindi ni shida Tupi. Had I sasa wanachuo hawajapata fedha ya kujikimu awamu ya pili. Si hilo tu, mambo kibao kama vile kuchakata matokeo ya wachuo kinyume na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nsaidien wazee nmepewa swali na mwalimu wangu kuandika Essay ya Sue of robot inakuajeee hiyo jaman
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Kwa yeyote mtu wa morogoro mjini anaye fahamu kituo chochote kinachotoa maelekezo juu notaz pamoja na upigaji wa vifaa kama kinand na gitaa plz ananisaidie kunielekeza wapi ntawapata. 0714620736
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A university practitioner in philosophy has predicted that Tanzania will continue losing more potential intellectuals in future in various disciplines due to a poorly designed education system in...
0 Reactions
1 Replies
865 Views
Nina mdogo wangu amechaguliwa hapo. Nipo kigoma kwa anayejua mahitaji na kunisaidia joining instruction anisaidie samahani.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nilipokuwa Nikimsolvia Dogo past Paper Ya HSTORY Form Iv,nimekutana msamiati 'VODOO' Kwenye Matchng Items, Naomba Msaada Kwa anayeelewa ni kitu gani hko.
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Assalam aleikum wana JF,, nawaombeni kwa heshima na taadhima kama kuna mwenye kuju shule nzuri ya secondary maeneo ya karibu na Bunju,, nafadhari naoma sana unifahamishe,, binti yangu alitakiwa...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Elishadai-Holili sec school announces places in form one,form two and in form three.welcome all and we a located at Holili in Rombo District-Kilimanjaro.Thank u.
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Habari za jumapili wana jf. Mwenzenu nina mdogo wangu kachaguliwa kujiunga kidato cha 1 kibasila sec. Ya dsm . Cha ajabu naenda kuchukua fomu ya kujiunga,naambiwa nitoe tshs.5000, na wameweka...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Exiled former Rwandan intelligence chief Patrick Karegeya has been found dead in a Johannesburg hotel room, South African police say. He was stripped of the rank...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Samahanini wenzangu wana JF hivi lini baraza la mitihani wanaanza kusajili Private Candidate kwa Advanced level? Nataka kureseat mwaka huu. Mwenye uelewa anisaidie. Wenu mtiifu Tanya
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Ndugu Watanzania nawasalimu. Leo naomba tubadilishane uzoefu juu ya utaratibu wa uendeshaji wa vyuo vyetu mbali mbali hapa nchini kwetu. Kwa leo nitaangazia chuo cha TIA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Binafsi nimehitimu shahada yangu ya kwanza mwaka 2012 na kupata ufaulu murua tu wa upper second, ila hadi sasa nafanya shughuli zangu za kawaida tu kutokana na ugumu wa kupata ajira kutokana na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tusiilaumu serikali kwa matokeo ya FORM FOUR,kama kuna vijana wamepata division one,two,three & Four na hao wa Zeros ni haki yao pia. Kuna watu wanapenda kuleta siasa kwenye masuala ya...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Hapa ni kwa shule za government 1.walimu wanaiba pesa za chakula,wanafunz wanaona sumu inatengenezwa 2.shule ina rasilimali zakutosha ,pesa Zote zinaliwa hauoni paper ya kitabu...
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…