Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Msaada tafadhari,mi ni mwanafunzi nahitaji nijiamini katika masomo yangu ili nifanye vizuri mara nyingi huwa najawa na hofu na kujiona nishafeli ninapomuona mtu kasoma topic ambayo mi sijasoma...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Jaman kwa yeyote anayejua chuo kinachofundisha udereva wa construction machine like caterpillar naomba anielekeze then sio mbaya kama ataniambia,ada,muda wa mafunzo,na mawasiliano ya chuo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wakuu naombeni mnijuze ni chuo gaani hapa nchini naweza kusomea stashahada ya uzamili (postgraduate diploma) kati ya fani zifuatazo; biochemistry, molecular biology/ biotechnology au anatomy...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar bandugu? nimependa kujadiliana nanyi wanafunz kuhusu hii, inawabidi kusoma kwa bidii sn ili kufikia malengo, yaani 2lio kwenye ajira tu maisha yanabana! asa wasio na ajira je...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nataka kuichukua A level. Ila najua kaz zake chache sana
0 Reactions
20 Replies
42K Views
Wadau wa elimu asaalam aleikum! Tumsifu Yesu Kristo! Nimebahatisha kuona matokea ya kidato cha 4 mwaka 2013 kuna mwanafunzi kapata alama 7 katika masomo yake ya kidato cha 4.kama ifuatavyo...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
wakati idadi ya ufaulu wa wanafunzi kuingia kidato cha kwanza kuongezeka inashangaza kuona baadhi ya watoto kutojiunga na masomo hayo kwa awamu ya kwanza kwa kicngizio cha uhaba wa madarasa,na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi, Happy new year to all. This is my new year 2014 present. if it does reflect you then your friend or relatives or even colleague. SCHOLARSHIPS AVAILABLE FOR TANZANIANS 2014/15 ACADEMIC YEAR...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana Jamvi, Ni karibu miezi miwili imepita sasa tangia matokeo ya mtihani wa darasa la saba yalipotolewa. Hivi tunakaribia kuingia January lakini Wizara ya Elimu bado haijawapangia shule wanafunzi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tar 30 test,31 presentation,tar 1 kuna prac,dah najuta kuijua SUA.
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Maoni ya Katuni Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) juzi imetangaza matokeo ya mitihani ya darasa la saba kwa watahiniwa waliomaliza elimu ya msingi mwaka huu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa. KWA UFUPI WASICHANA WAPASUA, WALIOPATA ALAMA ‘D' NAO WAENDA SEKONDARI Beatrice Moses na Ibrahim Yamola SERIKALI imetangaza...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Jamani nauliza, ajira za ualimu 2014 kwa anayejua kama zimetoka anijuze hapa.
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Hii kwa wote bt kuna dada yangu kasomea certifite ya nurseng katika chuo kimoja cha privety na kashapata vyety vyake vya nurseng lakin ana kama mwaka yuko nyumbani hajabahatika kupata tempo wala...
0 Reactions
0 Replies
687 Views
1 University of South Africa South Africa 2 University of Cape Town South Africa 3 Universiteit Stellenbosch South Africa 4 University of Dar es Salaam Tanzania...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
0655455556
0 Reactions
2 Replies
727 Views
Nimepoteza please msaada we nu 0655455556
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, shule moja wilayani Bagamoyo imekutwa ikiwa na mwalimu mmoja tu anayefundisha wanafunzi kuanzia chekechea hadi darasa la saba, wote wakifundishwa katika chumba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani hivi inawezekana kweli bodi mpaka sasa hawajatoa pesa ya awamu ya kwanza kwa wale tulio batch ya tatu? Maana hapa tangu nije nimeishia kupeleka detail tu, wala sijasain pesa. Dah Must chuo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
why there is low accesibility of banking services to many Tanzanians?
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…