Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

nimetafuta kwenye data base ya necta, sijapata. tafadhali nisaidieni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rejea kichwa hapo juu, kama wewe ni mwalimu uliyemaliza Diploma ama Degree ya moja ya somo tajwa hapo juu, kuna kazi ya kufundisha Chuo cha Ualimu, Grade A. Wilaya ya Mufindi- Mafinga mjini na ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa, mimi ni kijana mwenzenu, kutokana na changamoto mbali mbali za maisha nimekuwa nikisoma kwa kuunga unga flani, na nimefanikiwa kiasi, kwan kwa sasa ninachukua degree ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanafunzi wa udom wanalalama kutokupata boom lao hadi leo na hawajui hatma yao nn...jaman waziri wa mikopo hasa college ya education sikia kilio cha watu wako.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi mtu ukimaliza C B E utajiita msomi? Wakati una D 3 za olev umekomaa mpaka masters! Ndo maana product za c b e ni mbovu sana alafu wengi walioferi ndo wapo pale kwanini? Wasipelekwe wakasome...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Are You Tech & Science enthusiast? You have infinity ambitions on Tech & Science,Right ? But how to reach to Infinity(Ooop!! no NASA'S help).Worry no More,we also work at Infinity and we give...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
... kama unaweza kunisaidia ile barua kutoka kwa sponsor, yaani "scholarship acceptance letter" kuna mission nataka kuifanya, so kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kuipata ya kwake ntashukuru...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika vyuo 100 bora Afrika kwa mwaka huu 2013 University of Dar es Salaam wamechukua nafasi ya 6 na kuanzia hapo mpaka namba 98 kuna Hubert Kariuki Memorial na hakuna chuo kingine cha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hizi ni shukrani zangu za dhati kwa marafki woote waliohusika kwa namna moja au nyingine kunisaidia katika harakati zangu za kujiunga na chuo,toka kipindi cha tcu, heslb na mpaka sasa 2nd year...
0 Reactions
1 Replies
950 Views
Ninashahada ya elimu ' upper second class', malengo yangu ni kujiunga na masomo ya post graduate diploma in procurement and supply au procurement and logistics pale NIT ingawa hadi sasa sijui...
0 Reactions
7 Replies
14K Views
Haya kwa wale tu walioenda shule za udereva wa ukweli sio unafundishwa asbh huku tayari leseni ushaletewa nyumbani. Kwa picha ya hapo chini ni Gari lipi litakuwa la mwisho kupita A, B au C? Toa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
When the god's shall speak,beggars will get the rare opportunity to smile,for they will no longer live on the sideline of humanity as lesser beings, Desperate job seekers will cease to hear the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NAWAPONGEZA WADAU WOTE WALIOPATA DARAJA LA JUU LA UHASIBU(CPA) S/N NUMBER FULL NAME 1 12019100 FRANK ABEL 2 9015507 AMU ADAM 3 12015501 VERONICA ADAM 4 12018140 STEVEN ALBERTO 5 9009992 ROBERT M...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
wadau naomba mnijuze,ni lini tutatangaziwa shule wanazoenda watoto wetu wanaotarajia kuanza sekondari?mtoto wangu amepata b masomo yote,na ana avarege b,je hiyo itamuwezesha kupata shule nzuri?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenyu? naomba mwenye matokeo ya TPSC(Tanzania Public Service College) anisaidie nimejaribu kufungua kwenye web yao lakini hayafunguki. plz!!!!!!!!!!!!!
0 Reactions
2 Replies
16K Views
habari wakuu mwenye kitabu chenye solved question soft copy anisaidie thx....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomben msaada majina ya walio appeal mkopo yanatoka lin?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Imekuwa tabia kwa walimu wa tution kusengenyana kwa wanafunzi. Hebu badilikeni, sisi tunahitaji kujifunza si misifa yenu
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna taarifa kuwa ajira zitatolewa mwezi wa kwanza mwanzoni kabisa ,,haya kazi kwenu waliiiimu mjiandae kwenda sangamwalugesha na mwamashimba,,,
0 Reactions
16 Replies
3K Views
kwa mujibu wa gazeti la habari leo,naib wazir tamisemi anayeshughulikia elimu kassim majaliwa juz ametangaza ajira 26000 za walimu watakazomwagiwa walimu mwez januari mwakani. wakat huo huo mulugo...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…