Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari wadau. Naomba kufahamishwa namna ya kusoma vitabu kwenye mtandao au link ya kudownload vitabu vya masomo mbali hasa vya chuo, nimejaribu kusachi lakini vinakuja vya kulipia tena gharama...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
habari zenu jamani. hivi 1st year wa computer science tunatakiwa kuripoti lini shuleni kwa ajili ya masomo. na pia tunatakiwa tukutane wapi. Na pia ratiba ni kivp kuhusu 1st day. Thanks In Advance
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huu msemo unatumiwa sana MUCE,wakuu wa MUCE hasa watalaamu wa kiswahili,tutafutieni msemo mzuri ambao nikiutamka hautafikirika kwa fikira tata,binafsi haka kamsemo sikapendi.....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nachukua nafasi hii kwa kuupongeza uongozi mpya wa Kwiro high school kwa kuweza kuwaondolea kero wanafunzi walizokuwa wanakabiliana nazo km kuboreshwa kwa miundombinu ya maji,mashine ya kupasua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nilienda Wizarani kufahamu kama Wizara imekuja na jibu lolote kuhusu kilio cha vijana makumi elfu ya watoto wa kimasikini bila kujua hatima yao na nikabaini kwamba Heslb, Wizara na Serikali...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Kama unahitaji mwalimu wa physics au Advanced mathematics kwa a level kwa aliyepo Dar nipm au 0759 146483 tuongee
0 Reactions
0 Replies
808 Views
kontena limeshuka,watoto wengi waliotakaga kwenda Bcom ila sababu ya non priority wamekuja hapo AEA na division one zao kali na two kama mwaka jana pale AEA kulikuwa na one na two tu.....raia ni...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
jamani kama matokeo tayari niambieni....alafu nilisikia tarehe 10 yametoka kama tayar tuambiane :help:
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ikiwa zimebaki wiki chache vijana wa kidato cha nne kufanya mitihani ya form 4 akiongea katibu wa balaza la mitihani ukitofautisha miaka ya 2000 hadi 2013 idadi ya vijana wa mitihani ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jaman wana JF kuna mateso ninayopata katka kupata hii elimu yangu yan kila mwaka mpya wa masomo unapoanza huwa jina langu harirudi kwa ajili yakuonyesha loans allocation mpaka nipambane sana mwaka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wadau naomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia jinsi ya kupata materials/madesa ya PGDE maana ntasoma kwa njia ya distance.
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Wakuu jamvini kuna mdogo wangu 1st year amepata mkopo lakini jina lake halionekani kwenye orodha ya majina yaliyotumwa kwenye chuo chake amejaribu kufuatilia ofisi ya mikopo chuoni hapo akaambiwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Msaada kwa yeyote anayejua au anayeweza kunijulisha kuhusu ni jinsi gani nawezapata materials/madesa kwa kozi ya Postigraduate Diploma ya Education, maana ntasoma kwa njia ya distance.
0 Reactions
0 Replies
968 Views
kama unasoma vyuo hivi au umechaguliwa kudisco...ni kitu cha kawaida usipokuwa makini unaweza hata usimalize chuo....... 1. Sua 2.muhimbili 3. D.i.t 4. Kcmc na bugando 5. Udsm.. 6.mzumbe...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
A science professor begins his school year with a lecture to the students, 'Let me explain the problem science has with religion.' The atheist professor of philosophy pauses before his class and...
0 Reactions
7 Replies
950 Views
Sikujua kuwa sua n bonge la chuo,kama mkopo wako unaanzia 80% na kuendelea waweza kusajiliwa bla ya kulipia ada iliyobak
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Salam wana jf, mimi ni mwanafunzi wa chuo tajwa hapo juu mwaka wa pili kwenye fani ya CIVIL ENGINEERING (B.ENG.CIVIL) malengo yangu makubwa ni kuhakikisha ndani ya hii miaka minne ( course...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
i wrote a letter 4 postponment last year at st.joseph thy ddnt gv a reg no. instead wanadai niwapatie admmission no. ili waniregiste, hivi admmision no inatolewa na chuo au inapatkania wp? cz...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau. Nimeitwa kwenye interview ktk post ya Instructor kwenye moja ya chuo flani hivi. Naomba kujua je nikijiendeleza naweza kuwa nani kwenye sekta ya elimu ? GPA yangu ni 3.4
0 Reactions
0 Replies
892 Views
orientation inaendelea yaliyojiri wanaotaka kubadili cozi ruksa kama sio chaguo lako. *Chuo hakina president amedisco . *Tar 26 kuna paper la english *jtatu tunaanza masomo SUASO wamesema...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…