Serikal ya wanachuo [SUAsO] kupitia wizara ya mikopo inawataarifu kuwa kutokana na mfumo mpya wa udahili wa wanafunzi unaomtaka mwanafunzi adahiliwe kwanza ndipo asgn mkopo na kuwa mwanafunz...
nimepangiwa MABIBo hostel(male rooms) but am not interested to live there... so kama kuna mtu wa main CAMPUS either 1.tubadilishane... au 2.kununua chumba au kama kuna msaada mwingine naomba...
kama kawaida majembe wenzangu wa UDSM napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru MUNGU kwa kutuwezesha kuendelea na kitabu chetu vizuri sana na kuingia academic yr 2013/2014,naomba niwakaribishe...
JE WEW NI MWALIMU MWAJIRIWA NA UNGEPENDA KUFANYIA KAZI MAENEO YA BIHARAMULO MKOANI KAGERA nawe uko DODOMA? NITAFUTE KUPITIA 0766327457 AU elbinmuna@gmail.com
Hostel ipo karibu na vyuo hivyo, Nauza nafasi yangu kwa mtoto wa kike, Nichumba cha watu 2. sehemu imetulia. kuna maji, umeme ,tv, jiko la gesi mnafanyiwa usafi. Kwa mwezi ni 65 elfu.. KARIBU
Nakaa karibu na shule moja ya Bweni hapa.Wasichana hawa wanapenda sana kununua tunda la ndizi mbivu.ila kuna tetesi kua baadhi huzitumia kama swagz.Na pia mvulana mmoja alinisimulia kua shuleni...
habari zenu wanajamvi
kwa wale wa udsm jaman kama kuna mtu (boy) amepangwa room main campus na yy anataka mabibo naomba tufutane maana mm nimepangwa mabibo ila napendelea main campus
nitumie PM...
Chuo cha udom kwa sasa kinatisha kila nyanza ukianzia miundombinu ya madarasa mazuri kuliko chuo chochote Tanzania, vyumba vya malazi ni kujichagulia mwenyewe kwani ni vingi vya kutosha, huduma za...
Leo tarehe 18 october 2013 kulikuwa na sherehe ya kumaliza kidato cha nne ktk moja ya shule za sekondar mjin hapa iliyoanza majira ya saa 6 mchana
Takriban kilomita 3 kutoka shule hii kuna shule...