Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

chuo ndo j3, wengine atujapata hostel, wengine tunakaa mbali sana. Pia usafiri ndo shida paka kufika chuo. Tunasaidiana vipi jamani
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Hostel ipo karibu na vyuo hivyo, Nauza nafasi yangu kwa mtoto wa kike, Nichumba cha watu 2. sehemu imetulia. kuna maji, umeme ,tv, jiko la gesi mnafanyiwa usafi. Kwa mwezi ni 65 elfu.. KARIBU
0 Reactions
0 Replies
1K Views
People Who Changed the World 1. Jesus Christ (c.5BC - 30AD) Spiritual Teacher, central figure of Christianity. 2. Thomas Jefferson (1743- 1826) 3rd President of US. Principle author of...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Ripoti mpya ya utafiti imebaini kuwa asilimia kubwa ya Watanzania wenye elimu ya darasa la saba na wale wasiosoma, ndiyo wanaokubaliana na utendaji kazi wa Rais Jakaya Kikwete. Ripoti ya utafiti...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
kwa anaye taka room mabibo hostel anitumie PM
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kesho kutakuwa na msafara wa viongozi wa TCU na Wizara ya Elimu(MOEVT) utakaotembelea ofisi za DAAD, mjini Bonn nchini Ujerumani. Msafara huu utaongozwa na Katibu mkuu Wizara ya Elimu pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF! Naombeni ushauri wenu. Kwa mtu aliesoma Bachelor Degree in Computing, ni course ipi ya Master inaweza kua bora zaidi kwake na ikaendana vizuri na degree yake ya kwanza. Asante.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Fedha inayotolewa na heslb kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwaajili ya chakula na malazi yaani meals and accomodation alimaarufu kama bumu haitoshelezi labda pengine kama ingekuwa ya meals tu lakini...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Ndugu zanguni nawasalimu bwana yesu asifiwe na salaam alekum. Wenzetu watafanya maandamano makubwa j4 ijayo kwa kuwa tumekosa haki ya kupata mkopo na wazazi wetu wanalipa kodi. Wataongezewa nguvu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
ualimu(primary&secondary) eti una uhusiano na heading hapo juu..............nionapo hizo thread/post huwa nakata tamaa........ni maneno ya rafiki yangu ambaye yupo third year DUCE pale.....eti...
0 Reactions
78 Replies
11K Views
Amani kwenu wana jamvi... Sote tulipitia mikononi mwa walimu...walimu wengine tutawakumbuka maisha yetu yote kwa ubora wao na kuwajibika kwao vizuri katika malezi bora na maadili. Dunia ya...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Jaman,kesho ndo sua inafungua mlango academic year 13/14..,kama hujalipa crdb uciende kesho na j5 hutapokelewa!!"updatedboy"
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Hii tabia ya mtu kukubali kukubeba mkiwa home mkoan afu akifika chuo anapata tamaa afu anabadilika sio nzuri haiezekan mtu umemsaidia mambo mengi kila cku unanunua mb ili achek mambo yake...
4 Reactions
57 Replies
5K Views
natafuta chuo cha certificates kilchopo dodoma mjini!!!mwenye kujua ani pm!!!!!!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada tafadhali kwa wale wa SUA ambao tayari mmekwisharipoti chuoni, tafadhali naomba mtufahamishe sisi ambao tutachelewa suala zima la usajili hapo chuoni likoje..
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndugu mwalimu wa sekondari uliyemwenyeji wa biharamulo au unatoka maeneo ya karibu kama chato,katoro,bwanga,runazi,buseresere na geita na ungependa kufanyakazi maeneo hayo kwa kubadilisha vituo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
hello ndugu, mi ni mwenyeji wa mwanza! jinsia ni me, kama kuna me mwenzangu from n.i.t kutoka mwanza angependa tuishi wote ghetto pliz anitafute pm! ni hayo! Yego! Kwa nini ukaishi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hii ni baada ya cozi kama,food science kukoxa watu,irrigation and water resourse,post harvest ingeneerings kuwa na nafasi,forest na mazngra nazo zmepungukiwa wa2..hii inatoa pia fursa kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tarehe 15/10/2013 idadi kubwa ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Dunda waamua kutohudhuria shule baada ya kujiamulia kukaa nyumbani.Shule hii ipo mkoa wa Pwani wilaya ya Bagamoyo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Chuo cha kodi chatoa selection kwa wanafunzi wa diploma na degree mwaka wa masomo 2013-2014 tembelea www.ita.ac.tz
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…