Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari zenu wa jf mimi ni member mpya nataka kujua nin hatma ya wale tulioandikiwa not secure 4 loan ndo 2mekosa mkopo au bdo wanatufikria mwenye uelewa anisaidie jaman?
0 Reactions
2 Replies
981 Views
Naomba kujua ntapata vp hostel za chuo.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
jamani naomben mnijuze bei ya laptop ambayo inauzwa kwa bei ya chin?je nkiwa na lak 4 na nusu naweza pata laptop dukan??tafadhar msaada kwa anayejua!!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakati wa nyerere,,,watu wengi walinufaika na elimu ya juu,,,watu hao ni viongozi wetu walioko madalakani wakati huu,,toka juu mpaka chini,,,kipindi hicho nchi hii ilikuwa inaendesha uchumi wake...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Moja ya watumishi wa HESLB amenukuliwa akisema kuwa wengi ya waliokosa mkopo wana sifa hizi1. Wamesoma private schools eiher o-level au a-level.2. Ni equivalant applicant yani wana diploma.3...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Kwa waliokosa mkopo wataweza kweli kujisomesha wenyewe jamani...na kama tunavyo fahamu hali halisi ya Watanzania wengi kiuchumi.......:A S-confused1::help::frusty:
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Naomba analysis ya mishahara ya walimu wa ngazi mbalimbali yaani cheti, diploma,degree n.k
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Leo ndo nimeamini kuwa free manson wapo na kazi zao zinaonekana mansonly wanaamin katika mwanamke mjane anaitwa kabala kulingana na kitabu kinaitwa the mansonly tegris na ndio maana wanaitana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kuuliza, diagnostic radiography kwa tanzania inalipa? Na je nafasi za ajira zipoje? Naomba majibu yenye uhakika!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani vijana mjiandae kisaikolojia ili ucje katisha maisha kwa kukosa mkopo. Tujifunze kitu na tujue wazi serikali haina nia ya dhati na hatima ya Elimu TZ. Ni muda muafaka kuutathmini upya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
naitaji kufika jkt makao makuu dsm,naomba msaada
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza anae chukua bcom in finance ni muhimu awe na laptop??
1 Reactions
27 Replies
6K Views
NI KAULI KATIKA JAMII inayoendelea kukumbatia mfumo DUME. 1.wengi bado wanaamini wasichana ni mbumbumbu darasani. SI KWELI TENA WENGINE WANACHACHAFYA MIDUME KIBAO,primary,secondaryna hata chuo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kusaidiwa mlolongo na taratibu za uhamisho kwa shule za a-level, nina Dogo anasoma tarakea kidato cha tano lakini mazingira ya baridi yamemshinda na ninatarajia kufanya taratibu za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kuuliza hizo joining instructions ni lini zitapatikana maana kila ukiwapigia simu wanasema kesho ? Na pia katika yale majina ya walochguliwa wamesema inatakiwa ulipe ada kabla ya 5. October...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hawa watu vp, watu wamelipa elfu 30 then wanazila kiulaini
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa sheria inayosimamia mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, rufaa ni haki ya mwombaji yeyote ambaye atakuwa hajaridhika na matokeo ya kwanza, lakini jambo la muhimu la kujiuliza kabla...
1 Reactions
18 Replies
7K Views
HAPA NIPO HESLB tumeshindwa kukubaliana nao maana wanadai watu wa appeal tena SWALI vyuo vimefunguliwa hiyo REGISTRATION hapo chuon utatoa wap pesa?na baada ya ku-appeal ndani ya siku 90 ndio...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu.....nauliza hivi kwa mfano umepewa mkopo na heslb.....,labda kwenye tuition fee ya 1500000 wakakulipia milioni 1 je ile laki 5 ambayo imebaki ni lazima uanze kulipia nusu yake...
0 Reactions
2 Replies
742 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…